dvj nasmiletz
JF-Expert Member
- Jul 23, 2018
- 2,079
- 2,254
Hivi nani atakua na mix ya dj kalonje ya sweet reggae,ile wamo wakina deynque(summer love) ya miaka ya nyuma kidogo...kama unayo kuna hela ya maana ninayoLyta kwenye ragga na dancehall
Shinshk kote kote yuko poa
Perez kelele nyingi kama mimi
Numz kwenye rumba hana mshindan
Kibinyo ...singeli
Kenya dj ninaye mkubali mimi ni KALONJE
Asee kuna mix yake moja nimeipata juzi nasikiliza kila wakati kwenye simu, radio nyumbani jamaa ni mkali sanaNa. 3 nina kazi zake nyingi.... jamaa ni mkareeeee, from old skul to new skul, jamaa ni full talented za zaid pale anapoifanyia kazi talent yake!