Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,501
- 28,711
Anapatikana tv au redio ganMtangazaji :Mwalimu kashasha ile inaitwaje kitaalamu
Kashasha: ile inaitwa spoon ball kick ambayo mara nyingi huwa inawapa shida sana mabeki kuizuia..
Mtangazaji: vipi na ile ya kichuya
Kashasha: ile huwa hatufundishi ila kitaalamu inaitwa snake ball pass ambayo huwa na madhara sana kwa timu pinzani hasa inapotokea kwenye eneo la hatari
Kashasha huwa ananifurahisha sana.. Yaan hakuna kitu atakachoshindws kukusema kitaalamu kinaitwaje
Hajawahi kupatikana kama Dr. Leaky
Saa ngap nimsikilizeTbc fm
Samsung note7
Klauzi ndi nini3.dr likii
4.wale wa klauzi
5.edokumwembe
6. Wa tbcfm
7.wa redio frii
DAAAAAH MKUU UMETISHA SANA3.dr likii
4.wale wa klauzi
5.edokumwembe
6. Wa tbcfm
7.wa redio frii
uyu George Ambangile wa Magic hata mimi namuelewa sana. Kama ataendelea hivi namuona mbali sana baada ya muda mfupiGeorge Ambangile
Haa ha ha ha haMwalimu Alex Kashasha, Haji Mwinyi alitaka kufanya nini pale?
Kashasha: Haji Mwinyi alikuwa na nia nzuri, lakini uwezo wake na alichotaka kukifanya haviendani, H Mwinyi lazima akubali uwezo wake bado mdogo na aache kulazimisha mambo. Kwako Jesse
Kashasha ni noma aisee! Utamsikia akisema Chemistry ya mpira.kashasha ni noma yule mtu