Hawa ni wachambuzi bora wa mpira kwa sasa Tanzania. Pongezi zao

Hawa ni wachambuzi bora wa mpira kwa sasa Tanzania. Pongezi zao

Kuna wale waliokuwa wanatangaza times fm, akina Cliford Mario Ndimbo, Joseph Mwakasungura, nk.
Kipindi cha Dokodoko za Wizara ya Michezo.
Hao ni watangazaji wa habari za michezo na sio wachambuzi
 
Back
Top Bottom