Hawa ni Watanzania maarufu wanaoongea Kiingereza kilichonyooka

Hawa ni Watanzania maarufu wanaoongea Kiingereza kilichonyooka

Hapo ni watatu tu wanastahili

  • Jokate Mwegelo
  • His Excellence President Samia
  • Vanessa Mdee

Wengine hapo ni walo wa Thee..Thee...ya kukariri
mahaba yatakuua namba 1 hagusi hata robo kwa T.L
 
Na ufungue thread ya watu ambao kikristu kinawasumbua wa kwanza kwenye list yako awe dada J.N ,aliniangusha sana siku ile aliyokuja Ramaphosa
 
Inabidi watu wajue namna ya kutofautisha lugha ya Kiingereza isiyo rasmi (casual Eng-L) na lugha ya Kiingereza rasmi (Official Eng-L), kwa bahati mbaya ukiwa na uongeaji kama wa Chris Brown unaokota nyomi la watu wakijua unatema English Language pure kabisa na kumbe si hivyo.

Kuna baadhi ya orodha za watu hapa zimejaa na watu wanaotumia slangs na kuigaiga accent za mambele ambazo nazo ni faint.

Mtu anaongea English lakini ukimsikiliza anatamka maneno hovyo hovyo ila ilimradi sikio la msikilizaji linadaka accents tofauti basi mtu anajizolea sifa, pathetic!

Hapa kuna nini kwenye hizi convo:
"You know what I am saying" (utamkaji: yu no wa amsein')
"I was like you, it ain 't right to be there buddy" (utamkaji: Awoz laik yo, iti eint rai tu bi zea badi)
 
Huu ni Uzi wa kipuuzi,orodha ni ya kijinga imekaa kichawachawa..
 
Back
Top Bottom