Hawa ni Watanzania maarufu wanaoongea Kiingereza kilichonyooka

Hawa ni Watanzania maarufu wanaoongea Kiingereza kilichonyooka

Hapo naona ni rais samia na lissu tu ndio wanaojua kukitafuna kiingereza vema. Mbowe na joketi sijawahi kuwasikia wakiongea kiingereza, hao wengine wakiongozwa na mchomvu umewaoresha ili kufurahisha genge tu.
 
Sifa ya kwanza ili ujue mtu anaongea lugha kwa ufasaha ni lazima uijue lugha hiyo na si kufurahia mapigo intonatin yake tu.Kila la heri kwenye usikilizaji wako.
 
Usiweke orodha ya waliozaliwa nje ya nchi au waliokaa nje muda mrefu. Weka wale tu waliozaliwa hawajui lugha hiyo wakajifunza ukubwani mpaka wakaijua vema kuiongea lugha hiyo, yaani wale waliojifunzia sekondari zilizoandikwa SPEAK ENGLISH ONLY
 
Iko wazi . Kwa kiasi kikubwa sisi Wabongo tunajifunza Kiingereza hasa shuleni, so mtu anapozidi kwenda elimu ya juu zaidi ndivyo anavyopata exposure zaidi . Ndio maana mtu aliyesoma mpaka chuo asipojua Kiingereza inaonekana tatizo, Wakati yule aliyeishia msingi inaonekana kawaida TU. Mataifa mwingine hiyo ni lugha TU wanayotumia kuwasiliana kama hapa Kwetu Kiswahili, so hata asiyekwenda shule anaongea TU.
Umeongea fact mkuu
 
1. Mheshimiwa Rais Dr. Samia Suluhu Hassan

2. Jokate Mwegelo

3. Mimi

4. Freeman Mbowe

5. Mwigulu Nchemba

6. Tundu Lissu

7. Vanessa Mdee

8. Nikki wa II

9. Hamissa Mobetto

10. Adam Mchomvu
Profesa Ndalichako vipi...
 
namba moja ni vanessa yule binti unaweza sema ni mmarekani
 
1. Mheshimiwa Rais Dr. Samia Suluhu Hassan

2. Jokate Mwegelo

3. Mimi

4. Freeman Mbowe

5. Mwigulu Nchemba

6. Tundu Lissu

7. Vanessa Mdee

8. Nikki wa II

9. Hamissa Mobetto

10. Adam Mchomvu
Ila samia kazidi, yaani anavyoyatamka maneno kwa ulaini kama kazaliwa pale mtaa wa kumi-Downing kwa bibi Eliza
 
Usiweke orodha ya waliozaliwa nje ya nchi au waliokaa nje muda mrefu. Weka wale tu waliozaliwa hawajui lugha hiyo wakajifunza ukubwani mpaka wakaijua vema kuiongea lugha hiyo, yaani wale waliojifunzia sekondari zilizoandikwa SPEAK ENGLISH ONLY
Orodha itakosa watu.
 
Hapo naona ni rais samia na lissu tu ndio wanaojua kukitafuna kiingereza vema. Mbowe na joketi sijawahi kuwasikia wakiongea kiingereza, hao wengine wakiongozwa na mchomvu umewaoresha ili kufurahisha genge tu.
Mbowe yuko vizuri. Nilimsikia akihojiwa na BBC... Ni noma. Jokate kazaliwa USA ni mtoto wa Diplomat. Ni binti anayejua vyema ingredients za burger na pizza kuliko vitumbua na kashata.
 
Mmh
Mtoe namba one na JK hapo, ukiacha unafki hao wa2 kizungu chao cha kawaida saana!
 
Mleta mada (hata kama ni ya kitoto) lakin hivi una uhasama gani ka malaika, Abgail Chams, hadi kakakosa humo?
 
1. Mheshimiwa Rais Dr. Samia Suluhu Hassan

2. Jokate Mwegelo

3. Mimi

4. Freeman Mbowe

5. Mwigulu Nchemba

6. Tundu Lissu

7. Vanessa Mdee

8. Nikki wa II

9. Hamissa Mobetto

10. Adam Mchomvu

1. Mimi
2. Mariam professional wa Events Management alikuwa TTB sasa hivi yuko Wizarani MNRT
3. Balozi Dr. Asha Rose Migiro
4. Gilly Terry wa TIC
5. Faraja Kota
6. Nancy Summary
7. Sylvia Bahame
8. Wema Sepetu
9. Gwamaka Host wa Chuo cha Uongozi mtoto wa Mwenyekiti wa Yanga SC hapo zamani
10. Mhe. Amina Amina Salum Ally Znz
11. Waziri wa Fedha enzi za Kikwete Mdada
12. Vipanga wenzangu wote enzi zetu tuliitwa Wakali wa Morning Speech mbele ya umati Assembly Ground

Ukibisha chukua coca cola ntalipa
 
1. Mheshimiwa Rais Dr. Samia Suluhu Hassan

2. Jokate Mwegelo

3. Mimi

4. Freeman Mbowe

5. Mwigulu Nchemba

6. Tundu Lissu

7. Vanessa Mdee

8. Nikki wa II

9. Hamissa Mobetto

10. Adam Mchomvu
Mwigulu duuh ulimi mzito hata kuongea kiswahili 🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom