Hawa ni Watanzania maarufu wanaoongea Kiingereza kilichonyooka

Hawa ni Watanzania maarufu wanaoongea Kiingereza kilichonyooka

Wewe kiingereza chako ni cha hovyo mno. Unatumia nguvu nyingi mno kuandika sentensi zako. Kuna makosa kibao kwenye grammar. Jitahidi uwe na chupa ya maji pembeni kila ukimaliza kuandika sentensi ya kiingereza. Pambana mkuu. Acha kulialia.
Nah, cut the bullshit. You can't even reply in English besides putting your own ass on the damn list.

Also, correct my grammatical errors if you see any without forgetting to reply in English next time. Try me, you inglorious buffoon!
 
Najua unatamani sana nikujibu kwa kiingereza kama akili yako mbovu inavyokutuma. Sitatoa hiyo nafasi kwa mtu mjinga kama wewe. Kiingereza chako sio kibaya sana ila ni cha kutumia nguvu nyingi. Endelea kukifanyia mazoezi baada ya miaka minne utakuwa unamudu kuongea na kuandika vizuri kiingereza. Ungekuwa Arusha ningekushauri uende kwenye migahawa ya Clocktower uwe unapiga stori na watasha.
 
my
1. Mheshimiwa Rais Dr. Samia Suluhu Hassan

2. Jokate Mwegelo

3. Mimi

4. Freeman Mbowe

5. Mwigulu Nchemba

6. Tundu Lissu

7. Vanessa Mdee

8. Nikki wa II

9. Hamissa Mobetto

10. Adam Mchomvu
My std 3 boy,pia anaongea english fasaha sana.

So kingereza peke yake ni upuuzi tuu kama haki tatua matatizo ya wananch, hakijengi madarasa,hakinunui madawati,hakinunui dawa hospitali au kulipa malimbikizo ya wafanyakazi.Kinageuka kuwa kelele tuu.kwanza sisi huku kijijini hatukijui kizungu hivyo hata hatujui kama mtu anaongea vizuri au vibaya
 
Kwahiyo Adam Mchomvu na Hamissa wakanunue madawati na dawa kisa wanajua kiingereza? Picha upumbavu wako.
 
Back
Top Bottom