Hawa ni Watanzania maarufu wanaoongea Kiingereza kilichonyooka

Hawa ni Watanzania maarufu wanaoongea Kiingereza kilichonyooka

W
Mkuu,

Hili bandiko lako lenyewe kulijibu nimekutana an Thanks, Quote Reply.

Kiingereza ni lugha kubwa sana ya mawasiliano duniani.

Utake usitake.
With all due respect 🙏! Natambua kingereza ni lugha kubwa sana world wide, lakini jinsi mleta mada alivyoitukuza hii lugha utadhani sijui ni nini kumbe ni lugha ambayo mtu yoyote akiamua kujifunza anaimudu vyema
 
Acha kujipa moyo kijinga. Kama hujui kiingereza ninakuhesabia kama mtu mwenye ulemavu.
Mpuuzi kweli wewe, Karne hii ni ya kujivunia kujua kingereza ? Mshamba kweli kweli wewe , utakua umekuja mjini na mwenge !!!!! hii ni lugha nyepesi sana hata kama hujasoma ukiamua kujifunza unaimudu bila shida, na inaongeleka sehemu nyingi tu duniani ! Nini kipya cha zaidi ?
 
Nilipokuwa dogo a few years back nilikuwa naona ishu kubwa kujua kiingereza. Now naona ni upuuzi tu kujisifia ujuzi wa hiyo lugha. Sure, it's a good skill but not as grandiose or impressive as regarded by many of your kind.

You know what's impressive? Catching a 40-story building sized rocketship with gigantic mechanical chopsticks. Now that's impressive! It literally scratches my brain with excitement. It's just magnificent witnessing the wonders of such advanced, complex, and sophisticated engineering. Breathtaking!

Nadhani kuna level tofauti za ufikiri ambazo mtu hupanda gradually kwa kutegemea na... For now, I don't know. Labda ni genetics. Ninachojua baada ya kufikia hizo level mambo mengi, ikiwemo hili hugeuka upuuzi usio na maana. It's incomprehensibly intellectually below me.
Hongera kwa hiki kiingereza chako cha juhudi binafsi. Wewe kama utaweza kuongea kiingereza kwa dakika tatu bila kukwama itakuwa ni maajabu ya karne.
 
Mpuuzi kweli wewe, Karne hii ni ya kujivunia kujua kingereza ? Mshamba kweli kweli wewe , utakua umekuja mjini na mwenge !!!!! hii ni lugha nyepesi sana hata kama hujasoma ukiamua kujifunza unaimudu bila shida, na inaongeleka sehemu nyingi tu duniani ! Nini kipya cha zaidi ?
Endelea kujipa moyo kindezi.
 
Wanakuwaga wengi hao hasa wazee wazee hivi. Sijui huwa Ni depression au ni kitu gani
Kumbe unawajua na wewe wanapiga inglish imenyooka mpaka unajiuliza kwani huyu mboni inglish ipo straight kiasi hiki alikua anasoma Kenya au kule kwa Malkia? Jamaa huamini km kachizika English imenyooka kwenye tape measure
 
Hongera kwa hiki kiingereza chako cha juhudi binafsi. Wewe kama utaweza kuongea kiingereza kwa dakika tatu bila kukwama itakuwa ni maajabu ya karne.
Wth are you on about? Mimi siongei English ndani ya dk 3, mimi nafikiria kwa English 24 hours. That's why nachanganya lugha ili tuelewane. The fact that unadhani English ni kitu kikubwa hivyo ni proof tosha hauwezi kunielewa. I won't waste my time here!

Also, that's a pathetic fact.
 
W

With all due respect 🙏! Natambua kingereza ni lugha kubwa sana world wide, lakini jinsi mleta mada alivyoitukuza hii lugha utadhani sijui ni nini kumbe ni lugha ambayo mtu yoyote akiamua kujifunza anaimudu vyema
Asante kwa kuweka muktadha mkuu.

Mimi ninavyosikia watu wanazinguka na Kiingereza nashangaa kwa sababu Mama yangu alikuwa anaongea Kifaransa nyumbani, Tanzania.

I was like it's not fair. Mimi najifunza Kiingereza nyie mnaongea Kifaransa tayari?
 
Wth are you on about? Mimi siongei English ndani ya dk 3, mimi nafikiria kwa English 24 hours. That's why nachanganya lugha ili tuelewane. The fact that unadhani English ni kitu kikubwa hivyo ni proof tosha hauwezi kunielewa. I won't waste my time here!

Also, that's a pathetic fact.
You really have a calling in BROKEN English. Congratulations bro.
 
You really have a calling in BROKEN English. Congratulations bro.

You're just mad I find your definition of "high standard" to be quite low and pathetic. I meant no offense, but truth be told.

It's ironic that you chose to respond in said language just to undermine my argument.

So you think I'm right but won't admit it. I'm interested to see what you'll write next, only to stumble and prove me right.
 
1. Mheshimiwa Rais Dr. Samia Suluhu Hassan

2. Jokate Mwegelo

3. Mimi

4. Freeman Mbowe

5. Mwigulu Nchemba

6. Tundu Lissu

7. Vanessa Mdee

8. Nikki wa II

9. Hamissa Mobetto

10. Adam Mchomvu
Hapo ni watatu tu wanastahili

  • Jokate Mwegelo
  • His Excellence President Samia
  • Vanessa Mdee

Wengine hapo ni walo wa Thee..Thee...ya kukariri
 
Back
Top Bottom