Hawa ni Watanzania maarufu wanaoongea Kiingereza kilichonyooka

Yaani umejikosesha sifa kwa maksudi,

Nadhani mtu akiishi NewYork kuja kuishi Tanzania anahisi kama kuna vitu atakosa, maybe.
Nilikiwa naitwa na marehemu Balozi Dr. Augustine Mahiga alivyokuwa balozi wa Tanzania Umoja wa Mataifa niende nyumbani kwake New York anitambulishe kwa rais Kikwete.

Nipate kukaa karibu na kuongea na Kikwete. Wakubwa wa nchi wanijue vizuri niweze hata kulamba hizi teuzi.

Kwa heshima niliyokuwa nayo kwa yule balozi, nilikuwa nampa udhuru tu "Mzee ningependa sana kuja lakini nimetingwa na kazi zilizopangiliwa awali ambazo siwezi kuziahirisha".

Kumbe nilikuwa sitaki kukutana na hao viongozi tu.

Ningeweza kwenda kukutana na Kikwete nikaishia kumbana kwa maswali magumu mpaka nikamuaibisha huyo balozi mwenyewe.
 
Aisee
 
watu wanatukuza Sana kingereza,,,, kina nini kipya labda ? Naona una kaushamba sana tu ,,,, ! Hata kama hujasoma, si unaweza kujifunza tu na ukajua ? kina harmo, dai hakuna shule kichwani lakini wanaongea vizuri tu ,,,, ! Nenda kajifunze pia
Acha kujipa moyo kijinga. Kama hujui kiingereza ninakuhesabia kama mtu mwenye ulemavu.
 
Wewe hebu hacha usahaulifu........abby chammy na professor wa elimu tanzania yule mama usije ukamsahau ........mtu anaongea kidhungu mpaka pressure inashuka na kupanda yenyewe ........wewe uogopi
 
Back
Top Bottom