Tumwesige senior
JF-Expert Member
- Jan 28, 2013
- 3,506
- 6,305
Tanzania nzima hao tu,au we ni chawa wao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani kutokujua kingereza ni umbumbu mkuu?Acha dharau kwahiyo kwenye watanzani wote milioni hamsini na ushee,hao ndo wanajua,kwahiyo sisi tuliobaki ni mbumbumbu?
Samia hajui tofauti ya evacuation na eviction.Nyani Ngabu na Kiranga hawapo mkuu, leta hoja kwanini unapinga wao kuto kuwepo?
Mimi ndio nani?1. Mheshimiwa Rais Dr. Samia Suluhu Hassan
2. Jokate Mwegelo
3. Mimi
4. Freeman Mbowe
5. Mwigulu Nchemba
6. Tundu Lissu
7. Vanessa Mdee
8. Nikki wa II
9. Hamissa Mobetto
10. Adam Mchomvu
Kibongobongo imezoeleka hivyoKwani kutokujua kingereza ni umbumbu mkuu?
Mimi naona ni kipaumbele tu ila kujua lugha ni ishara ya akili ila kutokujua inategemea na vipaumbele na sio ukosefu wa akili🤔🤔Kibongobongo imezoeleka hivyo
Profesor Kabudi yupo vizuri pia1. Mheshimiwa Rais Dr. Samia Suluhu Hassan
2. Jokate Mwegelo
3. Mimi
4. Freeman Mbowe
5. Mwigulu Nchemba
6. Tundu Lissu
7. Vanessa Mdee
8. Nikki wa II
9. Hamissa Mobetto
10. Adam Mchomvu
Hahahaahaaaaa, mkuu umetisha sana mkuu.Samia hajui tofauti ya evacuation na eviction.
Kwenye list ambayo inaongozwa na Samia usiniweke.
Yani hata akiniita niende kuwa Waziri kwenye Baraza la Mawaziri lake sikubali
Mkuu,watu wanatukuza Sana kingereza,,,, kina nini kipya labda ? Naona una kaushamba sana tu ,,,, ! Hata kama hujasoma, si unaweza kujifunza tu na ukajua ? kina harmo, dai hakuna shule kichwani lakini wanaongea vizuri tu ,,,, ! Nenda kajifunze pia
Nishajiwekea mazingira ya kukosa uteuzi hata vigezo sina, kwa makusudi kabisaa.Hahahaahaaaaa, mkuu umetisha sana mkuu.
Ila kwenye uwaziri hapo nina wasiwasi, inasemekana uteuzi toka kwa raisi huwa ni amri.
Akili ni nini? Hili swali lilikwamisha mjadala kati ya Kiranga na Mshana.Mimi naona ni kipaumbele tu ila kujua lugha ni ishara ya akili ila kutokujua inategemea na vipaumbele na sio ukosefu wa akili🤔🤔