MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,113
- 65,124
Kama wewe ni mfuasi wa muziki, basi utakubaliana na mimi kwamba hii kazi ni ya kiwango cha kimataifa (World Class).
Hawa ni watoto wa Afrika Kusini, lakini kazi waliyoitoa ni ya kiwango cha nchi za Magharibi,
Ubunifu wa mavazi, mazingira, mavazi na wimbo wenyewe vimebebana sana.
Hivi wasanii wetu huwa wanakwama wapi kutengeneza video nzuri hivi ?
Mkuu Eyce wewe mdau mzuri wa burudani, hebu tupe maoni yako juu ya hii ngoma
Mkuu joseph1989 wewe nawe mfuatiliaji mzuri wa burudani, hivi tunakwama wapi ???