Hawa ni watoto wa Afrika Kusini, lakini kazi waliyoitoa ni ya kiwango cha nchi za Magharibi

Hawa ni watoto wa Afrika Kusini, lakini kazi waliyoitoa ni ya kiwango cha nchi za Magharibi

Hisia zangu zinaniambia kuishi na Mizungu inawasaidia SA. Pia hisia zangu zinasema kuna mahusiano fulani kati ya matumizi ya KINGE na ujanja/ubunifu/maendeleo.
HISIA ZANGU
 
South wapo vizuri,wenzetu video wanashirikisha watu wengi na si mtu mmoja ndio maana hata video zao nzuri.

Hata huo mdundo walio utengeneza wanaijua kazi yao,ila huku kwetu mtu mmoja anamaliza kila kitu,ila vile vile huwezi kuwalaumu sababu wasanii wa bongo pamoja na majina yao makubwa bado wanakuwa wabahili kuwalipa maproducer,Mwisho wa siku producer anakomaa mwenyewe kila kitu.
Kama wewe ni mfuasi wa muziki, basi utakubaliana na mimi kwamba hii kazi ni ya kiwango cha kimataifa (World Class).
Hawa ni watoto wa Afrika Kusini, lakini kazi waliyoitoa ni ya kiwango cha nchi za Magharibi,
Ubunifu wa mavazi, mazingira, mavazi na wimbo wenyewe vimebebana sana.
Hivi wasanii wetu huwa wanakwama wapi kutengeneza video nzuri hivi ?

Mkuu Eyce wewe mdau mzuri wa burudani, hebu tupe maoni yako juu ya hii ngoma
Mkuu joseph1989 wewe nawe mfuatiliaji mzuri wa burudani, hivi tunakwama wapi ???
 
Kama ni video kweli ni nzuri, lkn haina tofauti sana na ile ya Lavalava - Niue.

Nasty C is overrated na wewe naye naona unamuongezea bichwa.
Unforgetable
 
Ila Moderator uliyebadilisha jina la uzi Mungu anakuona aisee. 🤣 🤣 🤣 🤣
Mimi nilisema kiwango cha kimataifa wewe umesema kiwango cha nchi za Magharibi!
 
Kama wewe ni mfuasi wa muziki, basi utakubaliana na mimi kwamba hii kazi ni ya kiwango cha kimataifa (World Class).
Hawa ni watoto wa Afrika Kusini, lakini kazi waliyoitoa ni ya kiwango cha nchi za Magharibi,
Ubunifu wa mavazi, mazingira, mavazi na wimbo wenyewe vimebebana sana.
Hivi wasanii wetu huwa wanakwama wapi kutengeneza video nzuri hivi ?

Mkuu Eyce wewe mdau mzuri wa burudani, hebu tupe maoni yako juu ya hii ngoma
Mkuu joseph1989 wewe nawe mfuatiliaji mzuri wa burudani, hivi tunakwama wapi ???

Utamu wa music upo masikioni na machoni mwa mtu mwenyewe.

Mimi naona ni just a normal music, hata nyegezi wa Diamond ni mzuri kuliko huo. That's my take.
 
Utamu wa music upo masikioni na machoni mwa mtu mwenyewe.

Mimi naona ni just a normal music, hata nyegezi wa Diamond ni mzuri kuliko huo. That's my take.
What you hear is an opinion,
What you see is a perception.
 
Hisia zangu zinaniambia kuishi na Mizungu inawasaidia SA. Pia hisia zangu zinasema kuna mahusiano fulani kati ya matumizi ya KINGE na ujanja/ubunifu/maendeleo.
HISIA ZANGU
Maendeleo yote ni wamefanya makaburu na wao ndo matajiri na wenye maisha mazuri, blacks wengi ni masikini mno na hata serikali ilipokuja na sera ya black empowerment kutajirisha weusi na kuwafanya nao wamiliki uchumi bado wanufaika walikua wachache waliokaribu na chama tawala kama akina motsepe, na rais cyrill ramaphosa. SA ni Europe within africa ukiwepo sandton huwez waza ulaya, mji kama Capetown haitofautiani na mji kama longbeach California.Tatzo kubwa SA ni wizi na ujambazi wa kutumia silaha ambapo mostly hawa watu ni wahamiaji kutoka tz,malawi,ethiopia, nigeria, zimbabwe, wengi hukimbilia huko kutafuta kazi bila kuwa na professional yoyote mwisho wa siku wanakosa ajira na option inayobaki ni kujiunga na cartels za ujambazi, zamani hawa watu wasiona ujuzi walikua wanapata ajira migodini,lakini sheria mpya ya ajira inafavour zaidi wazawa na watu wenyeujuzi, wakenya ndo watu pekee wanaopata kazi nzuri kama manesi, madaktar mining engineers kwa sababu wengi wanaenda wakiwa na ujuzi tayari mfano mtu anakwenda ana Masters ya finance kutoka salford university U.S.A atakosaje ajira hapohapo anakuja muhabesh ambaye hajafika hata sekondari hapo unategemea option rahisi ni kuwa mwizi, zamani wa tz hasa wale wa kutoka temeke walikua wanafanya shughuli za uchuuzi mdogomdogo kama matching guys kuuza matunda, urembo nk bt now supermarkets zpo kla corner na bidhaa zote zinapatikana huko, wasiona ujuzi wanaotoboa ni hao wezi wa magari na wauza sembe, magari ya wizi pia kwa hv sasa ni ngumu kuyavusha nje ya SA, ukiwa Gauteng na unaendesha gari za bei mbaya unaweza upoteze gari au maisha au vyote.
 
Kama ni video kweli ni nzuri, lkn haina tofauti sana na ile ya Lavalava - Niue.

Nasty C is overrated na wewe naye naona unamuongezea bichwa.
Unforgetable
uko sahihi kabisa, idea ya mazingira ya video ishafanywa ktk video ya lavLava.
na huo wimbo kibongobongo soko lake limelala, huyu nasty c hamna kitu
 
uko sahihi kabisa, idea ya mazingira ya video ishafanywa ktk video ya lavLava.
na huo wimbo kibongobongo soko lake limelala, huyu nasty c hamna kitu
Shida kuna watu wanapenda wanamuziki fulani, na kuna watu tunapenda mziki mzuri, yani sisi hatunaga cha Diamond wala Alikiba, bali tunasuppory kazi zao, akitoa nzuri tuko nayo 24/7, akitoa mbaya basi alale mbele.

Sasa hawa wanaokariri wasanii ndio unakuta msanii wake ametoa video ya wimbo, yeye kwa sababu hana exposure anajua ni idea mpya kumbe ni copy & paste[emoji23]
Unforgetable
 
Kaka Eyce huyu ni Timi Dakolo wa Nigeria, anaimba Soul Muzik fused with Afro-Pop,
Sasa mtu kama huyu huwezi kusimama naye uwanja mmoja kwasababu yeye anaweza kushindana na watu wa nje.
Huu wimbo wake ni wa mwaka 2015 unaitwa WISH ME WELL, nadhani usikilize halafu utakubaliana na ninachosema.
A very quality song!
 
Back
Top Bottom