MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,113
- 65,124
Music industry ya Tanzania kwa sasa sio diverse sana sababu watu wengi wameshaaminishwa kuwa kuna type flani ya muziki ndio ipo vizuri which is wrong
Ukifuatilia muziki wa Maua sama ilikuwa sweet reggae nzuri sana na according to her zilimfanya hadi akate tamaa sababu hazikumpa mafanikio hadi alipotoa iokote "Afro Po" kama sijakosea, same as Navy Kenzo wanavyostruggle kwa sasa kutokana na soko lilivyo designed, its either ukubali au ukatae. Hiyo ndo fact kubwa
Kuhusu Videoz hiyo kitu ni obvious, Production houses tulizonazo hawawezi toa quality videoz compared na nchi kama South Africa, Nigeria na hata Kenya Tu. I remember Wakati wasanii wa Tz wakienda SA directors wa ndani walisema ni vifaa na location but now kuna Wanene na Kenny wana vifaa vyote na wanajitahidi but creativity ipo low..
Though hata hiyo video ya SA nayo concept yake ni overused na RnB iliyoimbwa humo sio kitu relevant kwa soko la bongo kwa sana so nimeongelea Generally.
nimeukubali 100 percent bonge la ngomaKama wewe ni mfuasi wa muziki, basi utakubaliana na mimi kwamba hii kazi ni ya kiwango cha kimataifa (World Class).
Hawa ni watoto wa Afrika Kusini, lakini kazi waliyoitoa ni ya kiwango cha nchi za Magharibi,
Ubunifu wa mavazi, mazingira, mavazi na wimbo wenyewe vimebebana sana.
Hivi wasanii wetu huwa wanakwama wapi kutengeneza video nzuri hivi ?
Mkuu Eyce wewe mdau mzuri wa burudani, hebu tupe maoni yako juu ya hii ngoma
Mkuu joseph1989 wewe nawe mfuatiliaji mzuri wa burudani, hivi tunakwama wapi ???
ahsante Sana mkuu kwa ngoma kaliKama wewe ni mfuasi wa muziki, basi utakubaliana na mimi kwamba hii kazi ni ya kiwango cha kimataifa (World Class).
Hawa ni watoto wa Afrika Kusini, lakini kazi waliyoitoa ni ya kiwango cha nchi za Magharibi,
Ubunifu wa mavazi, mazingira, mavazi na wimbo wenyewe vimebebana sana.
Hivi wasanii wetu huwa wanakwama wapi kutengeneza video nzuri hivi ?
Mkuu Eyce wewe mdau mzuri wa burudani, hebu tupe maoni yako juu ya hii ngoma
Mkuu joseph1989 wewe nawe mfuatiliaji mzuri wa burudani, hivi tunakwama wapi ???
Nasubiri majibu.Video ipi ya Kenya ni nzuri kuliko ya Tanzania
Video ipi ya Kenya ni nzuri kuliko ya Tanzania
Eyce UISHI MILELE aisee! Umechambua mambo ambavyo tulikaa tukawa tunayazungumza juzi sehemu fulani hivi,Music industry ya Tanzania kwa sasa sio diverse sana sababu watu wengi wameshaaminishwa kuwa kuna type flani ya muziki ndio ipo vizuri which is wrong
Ukifuatilia muziki wa Maua sama ilikuwa sweet reggae nzuri sana na according to her zilimfanya hadi akate tamaa sababu hazikumpa mafanikio hadi alipotoa iokote "Afro Po" kama sijakosea, same as Navy Kenzo wanavyostruggle kwa sasa kutokana na soko lilivyo designed, its either ukubali au ukatae. Hiyo ndo fact kubwa
Kuhusu Videoz hiyo kitu ni obvious, Production houses tulizonazo hawawezi toa quality videoz compared na nchi kama South Africa, Nigeria na hata Kenya Tu. I remember Wakati wasanii wa Tz wakienda SA directors wa ndani walisema ni vifaa na location but now kuna Wanene na Kenny wana vifaa vyote na wanajitahidi but creativity ipo low..
Though hata hiyo video ya SA nayo concept yake ni overused na RnB iliyoimbwa humo sio kitu relevant kwa soko la bongo kwa sana so nimeongelea Generally.
Hii nim
nimeukubali 100 percent bonge la ngoma
This is one great muzik my brother: Tuko Pamoja mzee!ahsante Sana mkuu kwa ngoma kali
Sio competition ila kwa swali lako kaangalie Video za Enos Olik or CEDO
ukitaka mfano specific zaidi nitakupa video za Nyashski mfano Hayawani & Sauti sol Extravaganza.
Video concept, Quality ya picha na shots zipo vizuri.
Bongo kipindi cha benchmark tulikuwa the vizuri EA, zilipokuja enzi za Ogopa na Enos, wasanii wakakimbilia Kenya.. Mara Godfather na Justin Campos wakakimbilia SA..sasa hivi wamerudi home ila ukilinganisha ubora na enzi wanashoot nje. Ubora umeshuka so, hatupo pabaya ila kukaza buti muhimu

AK ni Muzungu country, sasa cha ajabu ni kipi hapo? Kila kitu AK ni first world standard, kuanzia University zao, Kampuni zao, miundo mbinu, skilled labor, n.k. ni first World, kwanza kitu pekee AK inacho-share na Afrika ni jiografia tu, kwanza hata wakati mwingine kuna snow wakati wa winter , ...
Daaah asee uyo ASA au Asha ni kwikwi, wengine wote wanasubiri..Eyce UISHI MILELE aisee! Umechambua mambo ambavyo tulikaa tukawa tunayazungumza juzi sehemu fulani hivi,
Watu ambao walikuwa na dhamana ya kulitanua soko la muziki kama marehemu Ruge waliliminya baadhi ya sehemu.
Kuna kipindi ikafika msanii akawa anatoa kazi mbovu, ubunifu sifuri lakini media kubwa zinambeba na anasikika sana.
Kusema Hip-Hop haiuzi Bongo zilikuwa ni cheap-propaganda ambazo watanzania walilishwa na kuziamini bila kufikiri,
Kitu ambacho watu wetu kwenye media walijisahau ni kwamba Genre za muziki huwa hazifi bali zina-evolve na muda,
Mfano Marekani ilianza Blues ambayo wakina Ma Rainey waliimba: Baadae ikazaa Jazz ambayo wakina Louis Armstrong na Alice Coltraine waliimba. Mwisho wa siku Jazz na Blues zikazaa RnB, Rock and Roll, ambayo leo hii imezaa Pop and EDM.
Hivyo nadhani huu mchezo ambao Cluods FM walituletea kwamba baadhi ya Genre haziuzi halikuwa sahihi sana,
West-Afrika wanafanya vizuri sana kimataifa kwasababu Industry yao iko Diverse. Ule ukanda peke yake ndiyo umetoa wasanii wakuba kila kizazi ambao wanatoka Genre tofauti: Ukianza na Fela Kuti, Angelique Kidjo, Salif Keita, Mory Kante, Youssou N'dour na leo hii wana Burna Boy, ASA, Timi Dakolo na Wiz-Kid.
Diversity brings Creativity, nadhani hili ni moja ya jambo kubwa ambalo Industry yetu imelisahau.
Kama tukiweza kurirekebisha basi naamini tutafika sehemu nzuri kwenye soko la kimataifa.
brother naona umejiandaa kubisha ndio maana ukaquote mistake ambayo umeshindwa kuithibitisha..Extravaganza imefanyika South Africa hiyo ya nyashinski sijui
Eyce UISHI MILELE aisee! Umechambua mambo ambavyo tulikaa tukawa tunayazungumza juzi sehemu fulani hivi,
Watu ambao walikuwa na dhamana ya kulitanua soko la muziki kama marehemu Ruge waliliminya baadhi ya sehemu.
Kuna kipindi ikafika msanii akawa anatoa kazi mbovu, ubunifu sifuri lakini media kubwa zinambeba na anasikika sana.
Kusema Hip-Hop haiuzi Bongo zilikuwa ni cheap-propaganda ambazo watanzania walilishwa na kuziamini bila kufikiri,
Kitu ambacho watu wetu kwenye media walijisahau ni kwamba Genre za muziki huwa hazifi bali zina-evolve na muda,
Mfano Marekani ilianza Blues ambayo wakina Ma Rainey waliimba: Baadae ikazaa Jazz ambayo wakina Louis Armstrong na Alice Coltraine waliimba. Mwisho wa siku Jazz na Blues zikazaa RnB, Rock and Roll, ambayo leo hii imezaa Pop and EDM.
Hivyo nadhani huu mchezo ambao Cluods FM walituletea kwamba baadhi ya Genre haziuzi halikuwa sahihi sana,
West-Afrika wanafanya vizuri sana kimataifa kwasababu Industry yao iko Diverse. Ule ukanda peke yake ndiyo umetoa wasanii wakuba kila kizazi ambao wanatoka Genre tofauti: Ukianza na Fela Kuti, Angelique Kidjo, Salif Keita, Mory Kante, Youssou N'dour na leo hii wana Burna Boy, ASA, Timi Dakolo na Wiz-Kid.
Diversity brings Creativity, nadhani hili ni moja ya jambo kubwa ambalo Industry yetu imelisahau.
Kama tukiweza kurirekebisha basi naamini tutafika sehemu nzuri kwenye soko la kimataifa.
Yule mwanamke angetoa zile nyimbo zake za 2007 kipindi hiki cha Social-Media basi ingekuwa ni balaa tupu!Daaah asee uyo ASA au Asha ni kwikwi, wengine wote wanasubiri..