Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Tatizo watu wengi humuangalia Mandela kutoka alivyofungwa gerezani mpaka alivyokuwa rais na kustaafu.Kunamuda huwa naona Mandela yupo overrated
Hawaangalii historia ya Mandela kabla ya kufungwa, watu wengi wanamdogosha Mandela wakati hata hawajui The Rivonia Trial ni nini.