Hawa ni watu mashuhuri waliofariki lakini bado wanaishi midomoni mwa watu

Hawa ni watu mashuhuri waliofariki lakini bado wanaishi midomoni mwa watu

Mbona aliyegundua umeme, dunia ni duara, sayari mbalimbali, cement, mifumo ya kisasa mfano ubepari na ujamaa,tiba za kisasa, pampers, radio, tv, computer, simu n.k hujawaweka. Hao hawatasahaulika duniani tofauti na hao kina 2Pac uliowataja
 
Mwl Nyerere philosopher

Nelson Mandela -Politician and activist

Bob Marley , Muimbaji wa Reggie

Mohammed Ali, boxer

Malcolm X -Mwanamapinduzi

Martin Luther king Jr - Activist

2 PAC - huyu ni msanii wa hip hop

BIG notorious - Artist .
Mfalme Mangungo wa Msovelo - "Role Model" & Baba wa fikra za kijima za CCM
 
Mwl Nyerere philosopher

Nelson Mandela -Politician and activist

Bob Marley , Muimbaji wa Reggie

Mohammed Ali, boxer

Malcolm X -Mwanamapinduzi

Martin Luther king Jr - Activist

2 PAC - huyu ni msanii wa hip hop

BIG notorious - Artist .
Inategemea wanaishi midomoni mwa watu gani. Kwa mfano kuna kijana Niels Henrik Abel alikufa kwa ugonjwa wa TB akliwa na miaka 27 tu, na watu wengi hapa huenda hata hawamajui, lakini jina lake linajulikana sana kwenye dunia ya Mathematics. Abelian Groups zinazojenga msingi wa mahesabu karibu yote ya kihandisi na kihasibu na yanatokana zinatokana naye. Ni wahandisi wachache sana na huenda hakuna mhasibu hata mmoja anayejua jina la Niels Henrik Abel ispokuwa wale waliokwenda digrii za juu na wanahisababati tu

1719105631142.png



 
Sijui kwanini hujamlist my broda Joseph Hill na bush doctor PETER TOSH
Tenda haki.
 
Mwl Nyerere philosopher

Nelson Mandela -Politician and activist

Bob Marley , Muimbaji wa Reggie

Mohammed Ali, boxer

Malcolm X -Mwanamapinduzi

Martin Luther king Jr - Activist

2 PAC - huyu ni msanii wa hip hop

BIG notorious - Artist .
John Pombe Magufuli
Patrice Lumumba
 
Michael Jackson. Alikuwa anskusanya watu na hakukuwa na social media
 
Back
Top Bottom