Hawa nika bila la wapi??

hiyo mkuu ni kwenye pasific islands ..............try solomon islands utawakuta
 
Hawa ni watu wa PAPUA NEW GUINEA.

Ni moja ya makabila yanayoogopwa kwa Ulaji wa watu (Akina Rama wala watu).

Msiwachekee hawa, ukifika kwao wewe ni Nyama ya Mshikaki au Kiti moto pori.

Wanavaa Original Vuvuzela......

 
Hawa ni watu wa PAPUA NEW GUINEA.

Ni moja ya makabila yanayoogopwa kwa Ulaji wa watu (Akina Rama wala watu).

Msiwachekee hawa, ukifika kwao wewe ni Nyama ya Mshikaki au Kiti moto pori.

Wanavaa Original Vuvuzela......

Mkulu tungo na akili moja!!!!!!!
 
Papua New Guinea....wanakulaga watu

Naomba kuelimishwa zaidi, wanakula wageni wanaokatiza au hata wenyewe kwa wenyewe? Ina maana hawajui kutembelewa? Wanakula mtu aliyejifia mwenyewe au ni mwendo wa kuwindana kama swala?
 
Nilikuwa na rafiki wa karibu kutoka PNG ....................sikumuona na dalili za kula watu au ndo wamjini wamestaarabika?
 
Nimeipenda hiyo hifadhi yao maana muda wote inabidi kitu iwe attention la sivyo inachomoka.
 
Duh....ndugu yangu KK na mimi hawawezi aslan kutula....hiyo sura tu wataingia mitini wenyewe.....(lol)...lakini wakina PRETA buchani mojakwamoja

preta ndo kashikilia :A S-heart-2:katika kisosi akikibetua nimekufa!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…