Hawa nika bila la wapi??

Hawa nika bila la wapi??

Duh....ndugu yangu KK na mimi hawawezi aslan kutula....hiyo sura tu wataingia mitini wenyewe.....(lol)...lakini wakina PRETA buchani mojakwamoja

preta ndo kashikilia :A S-heart-2:katika kisosi akikibetua nimekufa!!

nshasema mimi siliwi hapo....hawa jamaa wanahamasisha sana....kakakiiza itabidi unisameehe....lazima niduu the nidful wallah....
 
Jaman eh hawa watu ni kabila gani? at least mtu aseme.
 
hili li thread linarudiwarudiwa mpaka inaboa sasa!
 
Back
Top Bottom