Hii itakuwa ya siku nyingi, nakubaliana na ww mkuu, hata mie nilimuona akiwa amenyolewa hizo rasta.Huyu alipoenda rehab Kigambon mwez wa juz mwez wa 6 si alinyolewa nywele hizo. Labda uniambie picha ya sku nyingi hii
I wish ungemjua huyo demu!!! Hivi demu aliyeshindikana hadi na mamake mzazi ndo atawezekana na boyfriend wake wa zamani?Diamond has to help this lady out of this fuckin mess.Mimi huwa sipendi aliyekuwa mpenzi wangu kudhalilika na kuteseka hivi,nikiwa na njia ya kumsaidia namsaidia hata kama aliniacha kwa kejeli matusi na dharau.Na hata kama nilimuacha mimi nahisi nikimsaidia nitakuwa namuonyesha dunia haiendi tunavyofikiria.
Kwani Mond yeye kesha rudi au alisepa mazima?Habari,
Msanii wa mziki wa kizazi kipya aliyetamba na wimbo wa Nitarejea alioshirikishwa na Diamond, Hawa Said ameangukia mikononi mwa wachungaji wapiga dili ili wamuombee baada ya kuathirika kiasi kikubwa na matumizi ya madawa ya kulevya.
Katika hali ya kustaajabisha kanisa hilo lisilo na soni liitwalo God Kind Life limemshikisha bango lenye maandishi yanayodhalilisha utu wake, kupigwa picha na kusambaza kwenye mitandao ya kijamii.
Mimi kama mtanzania sijapenda kilichofanya na kanisa hilo, haya makanisa hewa yanaudhalilisha ukristo.
Pole sana Hawa kwa kugeuzwa mtaji na wachungaji makanjanja.
Video ya Wimbo wa Nitarejea wa Diamond Platnumz alioshirikishwa mwanadada Hawa
Nakuambia mkuu all someone has to do nikujaribu kumsaidia.Kuliko kwenda kuhonga wanawake wapya magari anagalau hela ya Rav 4 mbili ingetosha kumtibu hawa then aachane naye.Alikuwa mtu wake amsaidie.Sio vizuri mtu uliyekuwa unamahusiano naye ukiwa huna kitu aharibikiwe wewe ukiwa una kitu umuache.I wish ungemjua huyo demu!!! Hivi demu aliyeshindikana hadi na mamake mzazi ndo atawezekana na boyfriend wake wa zamani?
Yaani Hawa ni tatizo! Ukipewa Chid Benz na Hawa ukaambiwa chagua mmoja wa kumbadilisha na ukishindwa unauawa; I am telling you; mchague Chid Benz na ukienda kwa Hawa umekwisha!!
But all in all, hiyo taarifa na hiyo picha ni ya zamani sana; angalau mwaka mmoja umepita!!
Kwani kutibu drug addiction inahitaji milioni ngapi man?! Tena kuna sober house kibao tu ambazo mtu unaweza kuwa rehabilitated for free na wapo wanaopona kupitia hizo free sober houses!Nakuambia mkuu all someone has to do nikujaribu kumsaidia.Kuliko kwenda kuhonga wanawake wapya magari anagalau hela ya Rav 4 mbili ingetosha kumtibu hawa then aachane naye.Alikuwa mtu wake amsaidie.Sio vizuri mtu uliyekuwa unamahusiano naye ukiwa huna kitu aharibikiwe wewe ukiwa una kitu umuache.