Hawa Nitarejea aenda kuombewa kanisani; Ashikishwa bango la udhalilishaji na kupigwa picha

Hawa Nitarejea aenda kuombewa kanisani; Ashikishwa bango la udhalilishaji na kupigwa picha

Mi nashangaa sana kwanza kukuta hawa watoto wa kike wakishawishika kuvuta unga,Unga ni zaidi ya unavyouelewa.
 
Wanadai wana nguvu za uungu wengine wamefikia kufufua wafu na wakaamini.
 
Diamond has to help this lady out of this fuckin mess.Mimi huwa sipendi aliyekuwa mpenzi wangu kudhalilika na kuteseka hivi,nikiwa na njia ya kumsaidia namsaidia hata kama aliniacha kwa kejeli matusi na dharau.Na hata kama nilimuacha mimi nahisi nikimsaidia nitakuwa namuonyesha dunia haiendi tunavyofikiria.
I wish ungemjua huyo demu!!! Hivi demu aliyeshindikana hadi na mamake mzazi ndo atawezekana na boyfriend wake wa zamani?

Yaani Hawa ni tatizo! Ukipewa Chid Benz na Hawa ukaambiwa chagua mmoja wa kumbadilisha na ukishindwa unauawa; I am telling you; mchague Chid Benz na ukienda kwa Hawa umekwisha!!

But all in all, hiyo taarifa na hiyo picha ni ya zamani sana; angalau mwaka mmoja umepita!!
 
Habari,

Msanii wa mziki wa kizazi kipya aliyetamba na wimbo wa Nitarejea alioshirikishwa na Diamond, Hawa Said ameangukia mikononi mwa wachungaji wapiga dili ili wamuombee baada ya kuathirika kiasi kikubwa na matumizi ya madawa ya kulevya.

Katika hali ya kustaajabisha kanisa hilo lisilo na soni liitwalo God Kind Life limemshikisha bango lenye maandishi yanayodhalilisha utu wake, kupigwa picha na kusambaza kwenye mitandao ya kijamii.

Mimi kama mtanzania sijapenda kilichofanya na kanisa hilo, haya makanisa hewa yanaudhalilisha ukristo.

Pole sana Hawa kwa kugeuzwa mtaji na wachungaji makanjanja.

Video ya Wimbo wa Nitarejea wa Diamond Platnumz alioshirikishwa mwanadada Hawa

Kwani Mond yeye kesha rudi au alisepa mazima?
 
Hiyo ni style ya maombezi TB Joshua wa Nigeria.

Nazani lengo ni kusave muda ambao utatumia kumuliza tatizo lake nini ambalo limemleta kanisani.

unajua huwezi anza kumwombea mtu from nowhere lazima ujue tatizo ndio umuombee.
 
I wish ungemjua huyo demu!!! Hivi demu aliyeshindikana hadi na mamake mzazi ndo atawezekana na boyfriend wake wa zamani?

Yaani Hawa ni tatizo! Ukipewa Chid Benz na Hawa ukaambiwa chagua mmoja wa kumbadilisha na ukishindwa unauawa; I am telling you; mchague Chid Benz na ukienda kwa Hawa umekwisha!!

But all in all, hiyo taarifa na hiyo picha ni ya zamani sana; angalau mwaka mmoja umepita!!
Nakuambia mkuu all someone has to do nikujaribu kumsaidia.Kuliko kwenda kuhonga wanawake wapya magari anagalau hela ya Rav 4 mbili ingetosha kumtibu hawa then aachane naye.Alikuwa mtu wake amsaidie.Sio vizuri mtu uliyekuwa unamahusiano naye ukiwa huna kitu aharibikiwe wewe ukiwa una kitu umuache.
 
hawa wa nitarejea akutana na wachungaji wapiga dili kwa kutumia jina la Mungu, wamuabisha na kumdhalilisha
 
Nakuambia mkuu all someone has to do nikujaribu kumsaidia.Kuliko kwenda kuhonga wanawake wapya magari anagalau hela ya Rav 4 mbili ingetosha kumtibu hawa then aachane naye.Alikuwa mtu wake amsaidie.Sio vizuri mtu uliyekuwa unamahusiano naye ukiwa huna kitu aharibikiwe wewe ukiwa una kitu umuache.
Kwani kutibu drug addiction inahitaji milioni ngapi man?! Tena kuna sober house kibao tu ambazo mtu unaweza kuwa rehabilitated for free na wapo wanaopona kupitia hizo free sober houses!

The problem ni kwamba Hawa mwenyewe, at least kwa wakati huo bado alikuwa hajawa tayari kuacha mihadarati. Na endapo mtu hajawa tayari kuachana na mihadarati basi chochote utakachofanya ni kazi bure!!! Kwahiyo it's not about money bali muhusika mwenyewe kuamua kuacha; PERIOD!!!

Now look at Hawa! Bia yeye, pombe kali yeye; gongo yeye, mihadarati yeye! Na vyote hivyo hakuna hata kimoja ambacho Diamond anatumia labda kama anatumia kwa siri!!! Sasa kama ni kulaumiwa si walaumiwe hao waliomfundisha kujidunga hayo masumu!!!
 
Matapeli kabisa, kuanzia kina Gwajima, Mama Lwakatare na wengineo, raia tuwashitaki kwenye mamlaka wafungiwe kabisa..
 
Naye ni mpumbavu wacha wale sadaka yake....hahaha
 
Hii picha itakua ya zamani kidogo..Hawa alishaenda rehab na anaendelea vizuri kabisa,wala hiyo minywele hana saivi kashaikata.
Alisaidiwa na wale shilawadu kufanya process zote hizo za kupona.kwa sasa Hawa yupo vizuri tuu..
 
Back
Top Bottom