Hawa Nitarejea aenda kuombewa kanisani; Ashikishwa bango la udhalilishaji na kupigwa picha

mwanamwana

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2011
Posts
1,309
Reaction score
4,798
Habari,

Msanii wa mziki wa kizazi kipya aliyetamba na wimbo wa Nitarejea alioshirikishwa na Diamond, Hawa Said ameangukia mikononi mwa wachungaji wapiga dili ili wamuombee baada ya kuathirika kiasi kikubwa na matumizi ya madawa ya kulevya.

WhatsApp Image 2017-10-13 at 11.52.40.jpeg
Katika hali ya kustaajabisha kanisa hilo lisilo na soni liitwalo God Kind Life limemshikisha bango lenye maandishi yanayodhalilisha utu wake, kupigwa picha na kusambaza kwenye mitandao ya kijamii.

Mimi kama mtanzania sijapenda kilichofanya na kanisa hilo, haya makanisa hewa yanaudhalilisha ukristo.

Pole sana Hawa kwa kugeuzwa mtaji na wachungaji makanjanja.

Video ya Wimbo wa Nitarejea wa Diamond Platnumz alioshirikishwa mwanadada Hawa
 
[emoji15] [emoji15] sasa ashindwe kwenda rehab amekimbilia kuombewa akitoka hapo anaenda kurudia tena...wamemdhariri sha kwel wachungaji hewa wasiojua maadili ya uchungaji
 
Hivi mtu unaaminije wachungaji sijui mapastor wa siku hizi?
Kwanza wakikualika katika mikutano yao wanakukumbusha kubeba sadaka mixer namba zao za tigo pesa

Upuuzi mtupu kuwaamini hawa watu
 
Diamond has to help this lady out of this fuckin mess.Mimi huwa sipendi aliyekuwa mpenzi wangu kudhalilika na kuteseka hivi,nikiwa na njia ya kumsaidia namsaidia hata kama aliniacha kwa kejeli matusi na dharau.Na hata kama nilimuacha mimi nahisi nikimsaidia nitakuwa namuonyesha dunia haiendi tunavyofikiria.
 
Habari,

Msanii wa mziki wa kizazi kipya aliyetamba na wimbo wa Nitarejea alioshirikishwa na Diamond, Hawa Said ameangukia mikononi mwa wachungaji wapiga dili ili wamuombee baada ya kuathirika kiasi kikubwa na matumizi ya madawa ya kulevya.

Katika hali ya kustaajabisha kanisa hilo lisilo na soni limemshikisha bango lenye maandishi yanayodhalilisha utu wake, kupigwa picha na kusambaza kwenye mitandao ya kijamii.

Mimi kama mtanzania sijapenda kilichofanya na kanisa hilo, haya makanisa hewa yanaudhalilisha ukristo.

Pole sana Hawa kwa kugeuzwa mtaji na wachungaji makanjanja.

Hii ni mbaya sana na inadharirisha kanisa kwa ujumla.
 
Diamond has to help this lady out of this fuckin mess.Mimi huwa sipendi aliyekuwa mpenzi wangu kudhalilika na kuteseka hivi,nikiwa na njia ya kumsaidia namsaidia hata kama aliniacha kwa kejeli matusi na dharau.Na hata kama nilimuacha mimi nahisi nikimsaidia nitakuwa namuonyesha dunia haiendi tunavyofikiria.
Hivi ndivyo nilivyo...duniani tupo wawili wawili
 
Mmmmh ni kweli Mungu anaweza kumfungua. Kama.aliweza kumbadilisha PAulo aliyekuwa muuwaji, mtesaji mzinzi na kuwa mtu mwenye hofu ya Mungu mtu safi na aliyeeneza habari za Mungu kote duniani sembuse huyu Hawa?

Tatizo la Hawa saidi ni kitu kidogo sana mbele za Mungu.

Well kuhusu hilo bango, staki kulisemea sana Ila aina ya uandish haikuzingatia kadamnasi.
 
Makanisa kama haya yanatakiwa yafutiwe leseni kabisa! I hope Wizara ya Mambo ya Ndani/Sheria wanayaona haya! Huu ni udhalilishaji uliopitiliza! Kina Mama Bisimba msikalie ya siasa tu na kuuacha udhalilishaji huu ukipita!
 
Na yapo mengi kweli
Wanadanganya watu bure
 
Diamond has to help this lady out of this fuckin mess.Mimi huwa sipendi aliyekuwa mpenzi wangu kudhalilika na kuteseka hivi,nikiwa na njia ya kumsaidia namsaidia hata kama aliniacha kwa kejeli matusi na dharau.Na hata kama nilimuacha mimi nahisi nikimsaidia nitakuwa namuonyesha dunia haiendi tunavyofikiria.
Du dunia hii kumbe ni zilipendwa wa Daimond.
 
Diamond has to help this lady out of this fuckin mess.Mimi huwa sipendi aliyekuwa mpenzi wangu kudhalilika na kuteseka hivi,nikiwa na njia ya kumsaidia namsaidia hata kama aliniacha kwa kejeli matusi na dharau.Na hata kama nilimuacha mimi nahisi nikimsaidia nitakuwa namuonyesha dunia haiendi tunavyofikiria.
Well said mkuu
 
Nimeazimika kurudia tena kuucheki huu wimbo youtube. Kalikuw very beautiful.

To err is human, so I think anaweza akasaidiwa na akarudi kuwa the same Hawa she used to be.
 
Ukienda kutubu unaambiwa tubu na fanya malipizi. Huyu malipizi atafanyia wapi? Kwani amemkosea nani kama siyo kajikosea mwenyewe. Aombe radhi mwili wake na akili zake halafu ajifungie ndani siku 40 kwa kunywa maji na bizari ya njano. Akitoka mweupeeeee.
 
Back
Top Bottom