Adolf Hitler Jr
JF-Expert Member
- Sep 13, 2016
- 340
- 263
Kila atakaepita mbele yake lazma amalizane naye, mdhaifu Sana kwa kwa wanawakeIla diamond jamani hachaguagi kuuma
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kila atakaepita mbele yake lazma amalizane naye, mdhaifu Sana kwa kwa wanawakeIla diamond jamani hachaguagi kuuma
Uyasemayo leo hata wenzio waliopatwa na maradhi yenye kuwatesa leo waliwaambia wengine wakati wa afya njema zao,kumbuka maradhi ni ibada kwa mwanadamu hata unapotoa maneno makali na dhihaka yapime na yatoe kwa kiasi binadamu ni dhaifu sana kwa mola wake huijui dakika wala saa ya mbele yako uzima na pumzi ulizopewa bure zisikupe kiburi.Siku nikitoa hela Yangu kumsaidia msanii ambae alikuwa na uwezo Wa kufungua bima ya afya, naomba siku hiyo nipigwe viboko mwaka mzima.
Hali sio nzuri kwa kweli!Ni huzuni kwa kweli! Huyo amenisikitisha zaidi kwa maumivu anayoyapata mwanae ni kiasi gani mama zetu wanapata maumivu wanaonapo watoto wao tupatapo majanga,huenda binti huyu angejituliza na kuishi maisha ayatakayo mola wake basi mama yake asingemwaga machozi leo hii kumlilia mwanae anavyopata tabu,tunaamini kila tatizo ni mpango wa Muumba lkn mengine ni shetani kupitia sisi,Na hatua iliyofikia kwa mgonjwa ni matumaini yake ya kupandikizwa ini tena huduma ambayo haijulikani itaanza lini na elimu yangu ndogo ini ni moja kupandikizwa sijui itang'olewa ya nani ili apone,mwenye kuweza hilo ni mama anaeumia leo kwa matatizo aliyomkanya mtoto jana,Hatua iliyopo kwa mgonjwa ni mbaya na anapata taabu sana tumuombee tu " Kama Mwenyezi Mungu alimpa uhai zaidi ya alionao sasa basi na ampe nafuu na kumponya mjawake huyu ila kama ni muda umefika basi na amchukue kumpoza na maumivu ayapatayo leo"tunamuombea kheri ktk tiba yake,kupona kwake,na kumlejea mola wake.
pole sana mkuu.Hali sio nzuri kwa kweli!
Nimeandika na kufuta kama mara sita hivi.....
mungu amjalie AFYA iliyo njema inshaalllahNawaomba wasanii kwa umoja wetu tumchangie msanii mwenzetu bi hawa anaumwa Ini limevimba.Msanii huyu ndie yule aliyeimba na Msanii Diamond wimbo uitwao Nitarejea .Msanii Hawa amelazwa Hospital ya Muhimbili
Hepatomegally......
Imesababishwa na nini...?
Pole sana Hawa