Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 22,719
- 40,739
Walilala?Si ndo alisema eti Mondii alimwambia wakarare bahalini siku saba wapate pesa za manjini..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Walilala?Si ndo alisema eti Mondii alimwambia wakarare bahalini siku saba wapate pesa za manjini..
Hahaaahaah aiseeemtoa mada umeona ukiweka huo wimbo ndo tutamsaidia au...?
wakati anakunywa hayo mataputapu alituita tunywe wote..!
yake pole tuu, hakuna msaada hapa.
Yupo Ukerewe sasa hivi ni Mwenyekiti mwenza wa kamati ya rambirambi yeye na Gambo.Wapi yule Nyerere mfupi, mkiti wa kudumu wa misiba, jitokeze hadharani. Onyesha juhudi au ww huangaiki na walio hai.
Madale kuna Hospital ya kisasa Mkuu?Apelekwe Madale akauguzwe
Alivyokuwa amenona papuchi alitupatia?Sasa mbona mpira unaurusha kwingine?huu wa kwetu sote..
Wewe ukitoa 10.na Mimi 10.na wengine 10.tutakuwa tumemsaidia sanaa
Sio udhaifu bali ni ulijari,chapa ilale.Kila atakaepita mbele yake lazma amalizane naye, mdhaifu Sana kwa kwa wanawake
Una hakika gani kama hiyo huruma uliyo omba kwa Mungu ime work out?Ningekuwa nimemhukumu, nisingemuombea hata hiyo huruma ya Mungu. Ninge'conclude kwa kusema hafai kusaidiwa ova.
Ila badala yake sijashawishi mtu alimsaidie, ila mimi sitaweza kumsaidia kwa hata 100 mbovu na kumwachia Mungu
ini mkuu sio figoDuh so aweza kuwa chanzo cha yeye kuwa hivyo
Stress na
Depression zilimdumbukiza kwenye madawa hence figo kufeli break
Agiza soda nakujaini mkuu sio figo
Una hakika gani kama hiyo huruma uliyo omba kwa Mungu ime work out?
Je ww ni msafi kiasi kwamba una waombea watu wengine huruma kwa Mungu?
MWANAMUZIKI ambaye alishirikishwa kwenye Wimbo wa Nitarejea ya mwanamuziki wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Hawa Said hali yake imezidi kuwa mbaya baada ya kulazwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili jijini Dar akisumbulia na tatizo la ini.
Akizungumza na Ijumaa, mmiliki wa kituo cha kudhibiti matumizi ya madawa ya kulevya cha Pilli Missana Foundation, kilichopo Kigamboni jijini Dar, Pilli Missana alisema kuwa, tatizo la Hawa limetokana na matumizi ya madawa ya kulevya alilokuwa akichanganya na unywaji wa pombe kali.
“Unajua Hawa hali yake ilishaanza kutengamaa kabisa lakini kumbe alikuwa amepata tatizo la ini muda mrefu kutokana na unywaji wa pombe kali, kwa sasa hali yake si nzuri sana na anapatiwa matibabu katika Hospitali ya Muhimbili,” alisema Pilli.
Julai mwaka jana, Hawa alijitokeza hadharani na kuomba msaada baada ya kuathiriwa na unywaji wa pombe kali za kienyeji pamoja na madawa ya kulevya ambapo alipatiwa msaada na Kituo cha Pilli Missana na hali yake kuanza kuimarika kabla ya kupata tatizo jingine la ini.
Na mwenyekiti wa hiyo foundation awe Steve Mengele aka Steve NyerereTanzania ukisikia MTU anaomba msaada ujue alikua celebrity ( wengi wao),nadhani sasa waanzishe foundation yao mapema waende NHIF
Si ndo alisema eti Mondii alimwambia wakarare bahalini siku saba wapate pesa za manjini..
Omba Mungu akupe mwisho mwema.Hawa wapuuzi hawastahilo huruma, huu ni wakati wa kila mtu kupambana na hali yake, pesa za kubwia unga kama nyoka angelipia bima ya NHIF saa hizi asingetuletea huu upuuzi wake.
Tena hii tabia ikome.
Ndio maana nakupenda bure madame.Be blessed!Mungu ni mkubwa na hashindwi