Hawa sijui kama hata wanajua wanapokwenda na wamepanga kwenda wapi

Webabu

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2010
Posts
10,509
Reaction score
16,734
Wanakoelekea wakiwa peke yao njia imeziba.
1744786135816.png

Hapo chini kuna wanakoelekea wenzao ambako hakuna matumani ndiko wenzao wanakotoka.
1744786650957.png
 
inasikitisha sana.
Upo wapi Smart911 na Mahondaw
 
Daaah, shida sana.

Yule mtu wa pale kwa mTogole angestudy vipi madhara ya mkataba wa Richmond au IPTL ama Buzwagi?

Labda nikiuliza hivyo utaelewa kidogo
Swali zuri.Wa Mtogole hawezi kujua kitu.hivyo kibinadamu ni lazima ahurumiwe tu sio kumuadhibu kwa mambo ya watu wengine.
Kama waliopiga Richmond na iptl mumeshindwa kuwapata na kuwaadhibu basi tulieni tu .
 
Sasa wewe huoni ushuru wa vitumbua vya mamalishe na makato ya umeme yanatumika kulipia deni la IPTL. Je hapo hao wananchi hawajaadhibiwa kwa uzembe wa viongozi wao.
 
Waadhibiwe hao viongozi basi kama wanajulikana.wauza vitumbua hawajui lolote na ukijua hawajui lolote lazima uwahuraumie.
Wakiamua kuandamana itakuwa ni kwa hasira za hao wanaowatesa sio hao waliokula pesa za iptl.Watawambia watafuteni hao sio sisi
 
😂😂😂😂🤓

Hata kwa mfano umeshindwa kuelewa. Basi inatosha
 
Back
Top Bottom