Hawa sijui kama hata wanajua wanapokwenda na wamepanga kwenda wapi

Haya mambo uyaone hivi kwenye picha tu, tuombe sana Mungu yasitukute.
Ndio uanaume huo, huwezi kuwa mtumwa wa mtu bila kujaribu kuukataa. Wamepigana wameshindwa, lakini hata anyewapiga anafahamu hawa binadamu hawataki kutawaliwa.

Sisi tunaona ni sawa tu CCM kubadilishana ofisi watu wale wale kila kukicha, utasikia, Kabudi,-Sheria, kesho Kabudi-Michezo, Mtondo utasikia Kabudi -Mwanasheria mkuu wa serikali, yani watu wale wale wanabadirishana vyeo, utadhani hakuna binadamu wengine.

Inabidi nasi tuonyeshe hatupendezwi na tunayofanyiwa, ili nao wafahamu wanauwezo kutupiga lakini hatukubali wafanyacho.
 
hawa ndio wale wanaosema wasilamu hawapo kwenye nafasi kwa sababu hawakusoma hzo ndio hoja dhaifu
Kumbe ni kwa sababu ya dhulma na ubaguzi wa wazi.Wa kupigiwa mfano zaidi ni Nyerere na Magufuli
 
Ndio uanaume huo, huwezi kuwa mtumwa wa mtu bila kujaribu kuukataa. Wamepigana wameshindwa, lakini hata anyewapiga anafahamu hawa binadamu hawataki kutawaliwa.

Sisi tunaona ni sawa tu CCM kubadilishana ofisi watu wale wale kila kukicha, utasikia, Kabudi,-Sheria, kesho Kabudi-Michezo, Mtondo utasikia Kabudi -Mwanasheria mkuu wa serikali, yani watu wale wale wanabadirishana vyeo, utadhani hakuna binadamu wengine.

Inabidi nasi tuonyeshe hatupendezwi na tunayofanyiwa, ili nao wafahamu wanauwezo kutupiga lakini hatukubali wafanyacho.
ok
 
Back
Top Bottom