Hawa Singida Black Stars wanatumia mbinu gani kuwapata wachezaji wakubwa na wazuri kwa haraka sana ukilinganisha na Simba na Yanga?

Hawa Singida Black Stars wanatumia mbinu gani kuwapata wachezaji wakubwa na wazuri kwa haraka sana ukilinganisha na Simba na Yanga?

Hakuna mchezaji mzuri na mkubwa anayeweza kuikataa Simba au yanga hakuna.

FACT:
1.Jonathan sowah:baada ya kwenda uarabuni na kuflop singida ndio wakamsajili akiwa flop.

2.Victorien adebayor:baada ya kuchemka huko uarabuni na kuishiwa kabisa na kubaki garasa singida ndio wakamsajili.

3.Sergie pokou:kaenda al hilal kachemka baada ya kukutana na mwamba wa kinyarwanda giremugisha singida ndo wakamsajili.

swali la msingi:
»Trabi anaweza kumuweka benchi job?
»kened juma anaweza kumuweka benchi hamza?
»metacha anaweza kumuweka benchi musa camara au diara?
»imoro anaweza kumuweka benchi zimbwe? Au yao yao?
»and kofi anaweza kumuweka benchi kapombe?
»kayeke anaweza kumuweka benchi mzinze au pacome?
»tchakei na max unamchukua nani?

TRUTH:
Tchakei na elvis rupia tu ndo wanaweza kuzima simba na yanga first 11 tena tchakei yanga anaweza kusubiri vile vile.
 
Timu ya waziribwa fedha, kwenye nchi yenye mamia ya Rasilimali unategemea hali tofauti? Ukijua how in Africa business & politics are integrated, hushangai hili.
 
Kila siku unasikia wamesajili mchezaji fulani, sasa hivi wana uwezo wa kumsajili mchezaji yeyote mkubwa hapa Afrika unayemjua wewe, tena kwa mawazo yangu wanasajili wachezaji wenye vipaji, ujuzi, uwezo na stadi za kucheza soka kuliko hata makapi ya wachezaji wa timu zetu kongwe.

Huwa najiuliza sana kwa mfano kuna wachezaji inasemekana wanatakiwa simba lakini maneno maneno meeeengi mwisho unasikia mchezaji huyo kaenda Yanga au Singida, hawa Singida wako serious sana msimu huu.

Na walivyo na weledi wana wataalamu wazuri wa mikataba kwa sababu wachezaji wa kigeni wanaowasajili ni wengi kuliko idadi ya wanaotakiwa katika ligi yetu na husikii wachezaji hao wakienda FIFA kudai kama timu fudenge.
Simba na Yanga kumejaa madalali uchwara, wanaingia makubaliano na mchezaji hata kama mbovu kiasi gani,watampamba aone mchezaji hodari ,then akishasajiliwa 50% inaenda kwa dalali ,na 30% ya mshahara unaenda kwa dalali pia.
 
Ni kweli na hii ni tangu wanaanzishwa wakiwa Singida united walikuwa wanajua ku point na kupata wachezaji wazuri sana
Huenda wanae scout na mpatani mzuri wanaemtumia maana hata mishahara Yao kwa hao wachezaji huwa sio mkubwa sana
Imagine wanae Jonathan Sowah
Lakini cha kushangaza hata namba 3 hawashiki
 
mbona mnatishana wakuu` kujua wewe ni nani haisaidii kitu.kikubwa hoja utakayoitoa ni kipimo tosha kuwa wewe ni nani.
sio kutishana na wewe hujanielewa,soma hoja yale ambayo alikuwa akiniambia mimi siwezi kuwa najua kitu,ndipo nikamwambia kwani unanijua? kwani unajua elimu yangu ikoje hadi useme kwa huo uwezo wangu siwezi kujua kitu ndipo nilipomjibu hivyo,hiyo sio hoja ya kutisha mtu,bali ni kusema kuwa usimdharau mtu maana humjui uwezo wake,kipaji chake,elimu yake
 
mwenye geita gold hana mfadhili ni yeye peke yake,na kwa sasa anajenga uwanja wake mwenyewe,pesa nyingi anapeleka kule,pia uelewa wake juu mpira kama biashara,kiasi ambacho anaweza kuajiri wataalamu,kwenye nyanja ya uongozi,utawala,ukocha na usimamizi wa fedha ni mdogo
 
sio kutishana na wewe hujanielewa,soma hoja yale ambayo alikuwa akiniambia mimi siwezi kuwa najua kitu,ndipo nikamwambia kwani unanijua? kwani unajua elimu yangu ikoje hadi useme kwa huo uwezo wangu siwezi kujua kitu ndipo nilipomjibu hivyo,hiyo sio hoja ya kutisha mtu,bali ni kusema kuwa usimdharau mtu maana humjui uwezo wake,kipaji chake,elimu yake
ooh sorry kwa kukunukuu vibaya
 
Kila siku unasikia wamesajili mchezaji fulani, sasa hivi wana uwezo wa kumsajili mchezaji yeyote mkubwa hapa Afrika unayemjua wewe, tena kwa mawazo yangu wanasajili wachezaji wenye vipaji, ujuzi, uwezo na stadi za kucheza soka kuliko hata makapi ya wachezaji wa timu zetu kongwe.

Huwa najiuliza sana kwa mfano kuna wachezaji inasemekana wanatakiwa simba lakini maneno maneno meeeengi mwisho unasikia mchezaji huyo kaenda Yanga au Singida, hawa Singida wako serious sana msimu huu.

Na walivyo na weledi wana wataalamu wazuri wa mikataba kwa sababu wachezaji wa kigeni wanaowasajili ni wengi kuliko idadi ya wanaotakiwa katika ligi yetu na husikii wachezaji hao wakienda FIFA kudai kama timu fudenge.
Pyramids fc ya bongo
 
Back
Top Bottom