Hawa Singida Black Stars wanatumia mbinu gani kuwapata wachezaji wakubwa na wazuri kwa haraka sana ukilinganisha na Simba na Yanga?

Hakuna mchezaji mzuri na mkubwa anayeweza kuikataa Simba au yanga hakuna.

FACT:
1.Jonathan sowah:baada ya kwenda uarabuni na kuflop singida ndio wakamsajili akiwa flop.

2.Victorien adebayor:baada ya kuchemka huko uarabuni na kuishiwa kabisa na kubaki garasa singida ndio wakamsajili.

3.Sergie pokou:kaenda al hilal kachemka baada ya kukutana na mwamba wa kinyarwanda giremugisha singida ndo wakamsajili.

swali la msingi:
»Trabi anaweza kumuweka benchi job?
»kened juma anaweza kumuweka benchi hamza?
»metacha anaweza kumuweka benchi musa camara au diara?
»imoro anaweza kumuweka benchi zimbwe? Au yao yao?
»and kofi anaweza kumuweka benchi kapombe?
»kayeke anaweza kumuweka benchi mzinze au pacome?
»tchakei na max unamchukua nani?

TRUTH:
Tchakei na elvis rupia tu ndo wanaweza kuzima simba na yanga first 11 tena tchakei yanga anaweza kusubiri vile vile.
 
Timu ya waziribwa fedha, kwenye nchi yenye mamia ya Rasilimali unategemea hali tofauti? Ukijua how in Africa business & politics are integrated, hushangai hili.
 
Simba na Yanga kumejaa madalali uchwara, wanaingia makubaliano na mchezaji hata kama mbovu kiasi gani,watampamba aone mchezaji hodari ,then akishasajiliwa 50% inaenda kwa dalali ,na 30% ya mshahara unaenda kwa dalali pia.
 
Lakini cha kushangaza hata namba 3 hawashiki
 
mbona mnatishana wakuu` kujua wewe ni nani haisaidii kitu.kikubwa hoja utakayoitoa ni kipimo tosha kuwa wewe ni nani.
sio kutishana na wewe hujanielewa,soma hoja yale ambayo alikuwa akiniambia mimi siwezi kuwa najua kitu,ndipo nikamwambia kwani unanijua? kwani unajua elimu yangu ikoje hadi useme kwa huo uwezo wangu siwezi kujua kitu ndipo nilipomjibu hivyo,hiyo sio hoja ya kutisha mtu,bali ni kusema kuwa usimdharau mtu maana humjui uwezo wake,kipaji chake,elimu yake
 
 
ooh sorry kwa kukunukuu vibaya
 
Geita siyo timu ya mtu binafsi inamilikiwa na halmashauri
 
Pyramids fc ya bongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…