Hawa Sio Comedians ila wakiongea mbele ya watu lazima tucheke sana

MamaSamia2025

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2012
Posts
14,588
Reaction score
32,361
Hawa ni watu ambao uchekeshaji sio kazi yao rasmi ila kila wanapoongea mbele za watu au kwenye mahojiano hawaachi kuwavunja watu mbavu.

1. Mheshimiwa Makongoro Nyerere
2. T.I.D
3. RC Chalamila
4. RC mstaafu Aggrey Mwanri
5. Ommy Dimpoz
6. Mheshimiwa Kishimba
7. Babalevo
8. Mheshimiwa Kibajaji
9. Mwijaku
10. Komredi Godbless Lema
11. Mheshimiwa Bwege
12. Mchungaji Mgogo
13. Mchungaji Hananja
14. Masau Bwire
 
 
Ongezea.
10. Mzee Makamba
11. RC Chalamila
12. Agrrey Mwanri
 
Prof. Janabi

Huyu mwamba mbobevu anakupiga nondo za kisayansi ukiwa unacheka huku somo linaingia effectively.

Utake usitake utacheka huku dawa ikikuingia, na huchoki kumsikiliza.
 
Vip kuhusu mh king musukuma
na mchungaji hananja
 
Makongoro
 
Umemsahau msukuma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…