yule kaka kile hasa ni kipaji, na uzuri ni freestyle haendi na story yake kichwani..!
He is my favorite..!
Mu Iran mmoja, ila hana macho kama yako..!Nani huyo anakuchekesha š¤
Lengo uonekane unawajua wachekeshaji wa kimataifa,yaani hii slavery mentality sijui tutaacha liniKuna jamaa wa Iran anaitwa Max Amini jamaa anajua kuchekesha na anaitendea haki stand comedy
AiseeNaunga mkono hoja, wanaocheka wote mashoga š
Mu Iran mmoja, ila hana macho kama yako..!
Hao ni stand up comedians?Mchekeshaji hapa bongo nawza angalia kaz zao ni jot au mpoki wengine ni nigeria na ghana wabunif mnoo nachekaga kiasi cha kuangusha simu chini kbsa
Hao ni stand up comedians?
Mara ya kwanza kuwafwatilia nilikuwa najiuliza hivyo hivyo but nilivyoanza kuelewa ndo nimejua kuwa ni best comediansHell...
Nazungumzia hawa kama wanajiita sijui Watubaki na cheka tu. Naonaga matangazo yao kiukweli naona watu wanacheka vitu ambavyo hata havichekeshi.
Au ni mimi ndiye nina stress. Maana ule ni usimuliaji tena hata kwa vitu havichekeshi. Na style ni stori utotoni ilikua hivi mara vile.
Kama umesongwa na mambo yote hayo hata nguvu ya kutoka ndani unatoa wapi šWatu Huwa wanaenda na Vicheko vyao pale..
Ukisema uende Umenuna utarajie wao ndiyo wakuchekeshe haitawezekana Mkuu..
Mtu Jana umelala na Njaa, Mke amekukimbia na Watoto, Baba Mkwe bado anakusumbua umalizie Mahari.. Mchepuko amekutumia Meseji haoni siku zake, Boss amekupa Overtime ila amegoma kuongeza malipo... Ukiwa na Hali hii pale usiende Kisha utarajie kuchekeshwa...
Yani wanaboa kila mmoja huwa lazima alete stori ya utotoniNa style ni stori utotoni ilikua hivi mara vile.
Yeah wakenya wanajitahidiWengi wanaofanya stand up comedy kibongo bado sana at least wenzetu Kenya.
Mwanangu umenikumbusha hilo jina, nenda YouTube sasa hivi. Mwamba a najua balaah. Nilisahau jina lake so thanksKuna jamaa wa Iran anaitwa Max Amini jamaa anajua kuchekesha na anaitendea haki stand comedy
Sioni akiwa na lengo hilo, na kuwajua wachekeshaji wa nje ni kosa? Mipira ya nje ndo inabamba kuliko upuuzi wa bongo na ile afconLengo uonekane unawajua wachekeshaji wa kimataifa,yaani hii slavery mentality sijui tutaacha lini