Troublemaker
JF-Expert Member
- Jun 8, 2015
- 20,834
- 40,641
- Thread starter
- #61
Huenda ndio maana vichaa wengi hucheka cheka?Sayansi inasema watu wenye ubongo wenye uwezo mdogo wa ku process (kuchakata mambo) wanacheka kwa urahisi zaidi kuliko wenye ubongo wenye uwezo mkubwa wa ku process mambo.