Hawa Standup Comedy wa Tanzania, nyie wana JF wanawachekeshaga?

Mara ya kwanza kuwafwatilia nilikuwa najiuliza hivyo hivyo but nilivyoanza kuelewa ndo nimejua kuwa ni best comedians
 
Kuna watu wamezaliwa na vipaji vya kuchekesha ila sio comedians.

1. Makongoro Nyerere
2. Pastor Mgogo
3. Yoweri Museveni
4. Heche
5. Loveness Malinzi Diva (huyu anaongeaga vitu vya kusadikika vinavyokera na kuchekesha hapohapo.)
 
Kama umesongwa na mambo yote hayo hata nguvu ya kutoka ndani unatoa wapi 😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…