Hawa Standup Comedy wa Tanzania, nyie wana JF wanawachekeshaga?

Sayansi inasema watu wenye ubongo wenye uwezo mdogo wa ku process (kuchakata mambo) wanacheka kwa urahisi zaidi kuliko wenye ubongo wenye uwezo mkubwa wa ku process mambo.
Huenda ndio maana vichaa wengi hucheka cheka?
 
Sayansi inasema watu wenye ubongo wenye uwezo mdogo wa ku process (kuchakata mambo) wanacheka kwa urahisi zaidi kuliko wenye ubongo wenye uwezo mkubwa wa ku process mambo.
Pia, kumbuka kuna jokes nyingine zinahitaji uwe una akili, uelewe utamaduni, lugha na mazingira ya jokes.
 
Mkuu, ukiwa na hali hiyo nunua dompo ingia YouTube msearch prof hamo hao wabongo watakutia hasira zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…