Minjingu Jingu
JF-Expert Member
- Nov 2, 2023
- 1,517
- 3,316
Jidanganye. Yanga ni team kali na ndo inaongoza katika ligi kwa magoli. Ina safu kali ya washambuliaji. Kupoteza kwa Simba haiondoi uimara wa Yanga na ndo tunatoa darasa leo la kuwachapa wagagaikoko.Yanga hatuna timu.
Hata kama leo tutashinda goli 10.
Umesema kweli...Yanga imepoa!Yanga hatuna timu.
Hata kama leo tutashinda goli 10.
Kwa hiyo wewe umeridhika na timu ilivyocheza?Jidanganye. Yanga ni team kali na ndo inaongoza katika ligi kwa magoli. Ina safu kali ya washambuliaji. Kupoteza kwa Simba haiondoi uimara wa Yanga na ndo tunatoa darasa leo la kuwachapa wagagaikoko.
Ni suala la muda tu. Hawa wanapigika vizuri sana. Hawana team. Kama wamekuwa wakiisikia sikia Yanga kiboko cha Simba ndo leo wamekutana nayo sasa..
Yaani bao chache sana ni 3. Nipo hapa
Yanga timu imeporomoka ghafla, kiungo kinakatika sana, strikers hawajiamini wanakosa magoli ya wazi, Shalulile tumepigwa! kocha afanye marekebisho mapema kabla ya kukutana ba TRA!Ni suala la muda tu. Hawa wanapigika vizuri sana. Hawana team. Kama wamekuwa wakiisikia sikia Yanga kiboko cha Simba ndo leo wamekutana nayo sasa..
Yaani bao chache sana ni 3. Nipo hapa
Sana. Mabao si umeona yamepatikana. Mpira ni magoli kama hujui.Kwa hiyo wewe umeridhika na timu ilivyocheza?
Timu
Yanga timu imeporomoka ghafla, kiungo kinakatika sana, strikers hawajiamini wanakosa magoli ya wazi, Shalulile tumepigwa! kocha afanye marekebisho mapema kabla ya kukutana ba TRA!
Hii timu waliocheza nayo leo hata timu yangu ya mtaani ingeifunga, hamna timu pale🚮🚮
Chizi maarifa una shida sana.Shalulile ni bonge la mchezaji acheni wivu na ndo alifunga bao match na simba.
Eti eeeeh?Chizi maarifa una shida sana.
Aliyemuuza Depu kwa Shelulile hana akiliShalulile ni bonge la mchezaji acheni wivu na ndo alifunga bao match na simba.