Lazima kaharibu, mchungaji wetu huyu ni kopi and pesti ya mchungaji Mtikila! Jela ni kama msalani kwake.
hajaharibu kaonewa...
Rev hajui kuharibu...
anajua kutengeneza..lol
Mbona wamtetea hivyo kulikoni??
Mbona wamtetea hivyo kulikoni??
Lazima kaharibu, mchungaji wetu huyu ni kopi and pesti ya mchungaji Mtikila! Jela ni kama msalani kwake.
kanibatiza ....................
Kinda ask the same question...ukizingatia babu sijaletewa kishika uchumba wala mahari.
Hivi pale Kingstar hamna sehemu ya kuchezea watoto e.g.mabembea, e.t.c Maana inawezekana watoto wanatu-miss sana home ndiyo maana wameamua kutufuta Jamvini (MMU)!
Jamani Mbavu zangu. Mchunga aliuwa m2 kwa maneno. ile thread ya kifo cha Abuu ambaye alikua Member humu.
Mchungaji alijaribu kuweka majina ya members fulani ambao Bado ni active. Nafikiri hii ni Criminal offence. so tumemuweka jela kidogo. 2yrs.
Na kipaimara kakupa huyo huyo?? Na kama si yeye nae utamtetea hivyo??!!
Mshiki salama? Ndo nini kupetezana mazima?
u have got that one right..
mie namtetea Rev mpaka kifo kinitenganishe na kanisa lol
u have got that one right..
mie namtetea Rev mpaka kifo kinitenganishe na kanisa lol
Salama sana msasha. Nilikua katika mikakati ya kumngoa Mramba kule Rombo. Nimehakikisha kila kitu kiko salama na sasa nimerudi Rasmi. Acha kijaba selasini apige kazi mwaya.
Haya bwana sina nyongeza
Unajua unamliza babu yako wivu?
Uskubali kirahisi, nawe mwambie hutamngongea kale ka my fevareti batani kangu mpaka kifo kimtenganishe na mchungaji.
Ndugu yangu, hao sio watoto. Ni watu wazima walioshindwa kura za maoni CCM. Wengine ni wale wanaosubiri kuteuliwa ukuu wa wilaya na mikoa. Wanasiasa wakikosa kazi, tabia zao kama watoto tu. Wee subiri Rais atangaze vyeo vyote, upuuzi huu utapungua sana. Kuna mmoja namjua alikuwa mgombea ubunge jimbo moja Kigoma.