Hawa 'under 18' tuwafanyeje?

Hawa 'under 18' tuwafanyeje?

Naunga mkono hoja asilimia 500%,liwepo jukwaa la watoto!
 
Hivi pale Kingstar hamna sehemu ya kuchezea watoto e.g.mabembea, e.t.c Maana inawezekana watoto wanatu-miss sana home ndiyo maana wameamua kutufuta Jamvini (MMU)!
 
Lazima kaharibu, mchungaji wetu huyu ni kopi and pesti ya mchungaji Mtikila! Jela ni kama msalani kwake.

Jamani Mbavu zangu. Mchunga aliuwa m2 kwa maneno. ile thread ya kifo cha Abuu ambaye alikua Member humu.
Mchungaji alijaribu kuweka majina ya members fulani ambao Bado ni active. Nafikiri hii ni Criminal offence. so tumemuweka jela kidogo. 2yrs.
 
Hivi pale Kingstar hamna sehemu ya kuchezea watoto e.g.mabembea, e.t.c Maana inawezekana watoto wanatu-miss sana home ndiyo maana wameamua kutufuta Jamvini (MMU)!

Tatizo home hakuna nafasi ya kucheza ndo maana wanakuja humu. Waende Whitesands kuna kuogelea kwa sana
 
Jamani Mbavu zangu. Mchunga aliuwa m2 kwa maneno. ile thread ya kifo cha Abuu ambaye alikua Member humu.
Mchungaji alijaribu kuweka majina ya members fulani ambao Bado ni active. Nafikiri hii ni Criminal offence. so tumemuweka jela kidogo. 2yrs.

Mshiki salama? Ndo nini kupetezana mazima?
 
Mshiki salama? Ndo nini kupetezana mazima?

Salama sana msasha. Nilikua katika mikakati ya kumngoa Mramba kule Rombo. Nimehakikisha kila kitu kiko salama na sasa nimerudi Rasmi. Acha kijaba selasini apige kazi mwaya.
 
Salama sana msasha. Nilikua katika mikakati ya kumngoa Mramba kule Rombo. Nimehakikisha kila kitu kiko salama na sasa nimerudi Rasmi. Acha kijaba selasini apige kazi mwaya.

Ulihakikisha umejiandikisha kwenye daftari la kudumu la mahujaji wa Yerusalemu Mpya? Na ile kitu inawekwa mseseve uliifakamia vya kutosha?
 
Unajua unamliza babu yako wivu?

hahahaha lol
babu weye usijali kabisa..
hakuna kitakacho tutenganisha..
siku yako au yangu ikifika tunakwenda wote lol
hiyo ni miaka 80 inayokuja lakini..lol:car:
 
Ndugu yangu, hao sio watoto. Ni watu wazima walioshindwa kura za maoni CCM. Wengine ni wale wanaosubiri kuteuliwa ukuu wa wilaya na mikoa. Wanasiasa wakikosa kazi, tabia zao kama watoto tu. Wee subiri Rais atangaze vyeo vyote, upuuzi huu utapungua sana. Kuna mmoja namjua alikuwa mgombea ubunge jimbo moja Kigoma.

He! Ha ha ha....! Makubwa
 
Back
Top Bottom