Hawa 'under 18' tuwafanyeje?

Hawa 'under 18' tuwafanyeje?

Mkuu hawa madogo wanahitaji, hebu soma signecha yangu.......!

Siyo siri hawa madogo na mathread yao sijui mama mkwe ananitaka, sijui wanawake wote wa mjini wametoa mimba, sijui jinsi ya kumpata demu wa kichaga et el wanaboa sana.

Jukwaa la watoto ni wazo jema Naunga mkono hoja.

You deserve my first thanks here it is

The Following User Says Thank You to Asprin For This Useful Post:

Desidii (Today)​
 
Mjukuu umenena vema. Ntakutafutia zawadi.

mmhhhhh
babu naona leo umeamkia upande wa kulia wa kitanda...
na malapa uliya kuta hapo chini mbwa hakuyavuta
kwani nimeona jinsi ulivyo tutetea wajuukuu wa kike
mmhh asante sana babu Ubarikiwe dear..
mmmmwwwwwaaaaaahhhh:angel:
 
You deserve my first thanks here it is

The Following User Says Thank You to Asprin For This Useful Post:

Desidii (Today)​

Ngoja niiweke hapa, manake huchelewi kudiliti wewe!<LI id=post_1509647 class="postbitlegacy postbitim postcontainer">
 
Wenyewe kila siku kulalamika tu demu anakunywa bia ya bei mbaya,anakuja na marafiki,hapokei simu,anaringa yaani taabu tupu kama hela haitoshi si uniombe mimi baba yako sijui wanatuita 'dingi'.

Mi mwenyewe nimeshtuka na kuwaza nini kimetokea siku za karibuni>?
 
Ngoja niiweke hapa, manake huchelewi kudiliti wewe!<LI id=post_1509647 class="postbitlegacy postbitim postcontainer">

Babu unajua misa hakuna jumapili hii
kwa sababu mchungaji yuko jela..
sijua kafanya kosa gani lakini
nimeona :ban: kwenye jina lake ..
nimesha ku miss Rev wetu...
 
Babu unajua misa hakuna jumapili hii
kwa sababu mchungaji yuko jela..
sijua kafanya kosa gani lakini
nimeona :ban: kwenye jina lake ..
nimesha ki miss Rev wetu...


Mchungaji yuko jela? OMG! Kafanya nini yailah?
 
Babu unajua misa hakuna jumapili hii
kwa sababu mchungaji yuko jela..
sijua kafanya kosa gani lakini
nimeona :ban: kwenye jina lake ..
nimesha ku miss Rev wetu...

Mmmmhh pole labda kaharibu!!!
 
Jamani hamna watoto nyie mnaojiita watu wazima?Na watoto wenu huwa hamuwapi uhuru wa kutoa mawazo yao katika mambo mbalimbali ya familia?Kwangu mimi naona tuwape nafasi na wala haina haja ya kuwabagua,cha msingi wanapokosea tunawarekebisha na maisha yanaendelea,tukiwatenga hawataweza kupata mawazo,changamoto na hekima zetu amabzo wanazihitaji sana

Nyumbani watu wazima wanapoongea mambo yao ya kiutu uzima watoto huwa wanaambiwa waende nje kucheza michezo yao. Naunga mikono hoja. Tuwe na jukwaa la watoto ili mambo yao ya kitoto waongelee huko na wazazi mara moja moja tutalitembelea jukwaa lao kuwapa ushauri nasaha inapobidi.
 
Wakuu wa jukwaa hili kuna hawa vijana wadogo anda 18 ambao wamevamia jukwaa hili miezi ya karibuni naona tuwaombe Mods wawafungulie jukwaa la watoto la sivyo hatutaelewana hapa,wenyewe kila kukicha demu wangu kafanya hivi,sijui shori kafanyaje mpaka kina dada wanakosa amani hapa.Mapendekezo mengine yanakaribishwa.

Ndugu yangu, hao sio watoto. Ni watu wazima walioshindwa kura za maoni CCM. Wengine ni wale wanaosubiri kuteuliwa ukuu wa wilaya na mikoa. Wanasiasa wakikosa kazi, tabia zao kama watoto tu. Wee subiri Rais atangaze vyeo vyote, upuuzi huu utapungua sana. Kuna mmoja namjua alikuwa mgombea ubunge jimbo moja Kigoma.
 
Back
Top Bottom