Hawa vijana unaweza fikiri sio watanzania kwa wimbo huu bora kabisa wa kumuenzi Nyerere - Dear Nyerere

Hawa vijana unaweza fikiri sio watanzania kwa wimbo huu bora kabisa wa kumuenzi Nyerere - Dear Nyerere

data

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2011
Posts
26,858
Reaction score
23,768


Hongera sana kwao! Miaka mia ya Nyerere imechagizwa vyema kabisa na wimbo huu, napenda kulifahamu zaidi kundi hili.
 
Wimbo murua kabisa, hakika hii ni zawadi kwa Rais wetu kipenzi, Mama Samia Suluhu Hassan.

[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Yuuko mata**ni mwako ,swali gani unatuuliza au kwavile jf ni bure?
Kulikua na ulazima gani kujibu hivo.maana swali nila kawaida ila wewe umejibu ujinga zaidi.kwa akili zako hapo unadhani umemtukana muuliza swali kumbe umejitukana mwenyewe kwakuonyesha ujinga wako.Kwa akili hizo unadhani Mungu atakusamee vip mwafrika.
 
Back
Top Bottom