Kulikua na ulazima gani kujibu hivo.maana swali nila kawaida ila wewe umejibu ujinga zaidi.kwa akili zako hapo unadhani umemtukana muuliza swali kumbe umejitukana mwenyewe kwakuonyesha ujinga wako.Kwa akili hizo unadhani Mungu atakusamee vip mwafrika.