Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
Daah ***** keshatobowa ivoo.. ntatoka lini Mimi??Yeah alichukua " tuzo ya msanii anayependwa africa mashariki I think (kama nimekosea wajuzi watanisahihisha)
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Daah ***** keshatobowa ivoo.. ntatoka lini Mimi??Yeah alichukua " tuzo ya msanii anayependwa africa mashariki I think (kama nimekosea wajuzi watanisahihisha)
Hahaa una fanya music bab !!?Daah ***** keshatobowa ivoo.. ntatoka lini Mimi??
Me ni underground producer mzeeHahaa una fanya music bab !!?
Aahh okay " ... unafanyia wapi shughuli zako " !!?Me ni underground producer mzee
Niko dom.. pia ni dj kwenye event basi mzeeAahh okay " ... unafanyia wapi shughuli zako " !!?
Owkay mkuu " jitahidi kushiriki kukutana na wadau mbali mbali katika matamasha makubwa " utafanikiwa tuNiko dom.. pia ni dj kwenye event basi mzee
Inshalah mkuu.. mungu yupo tuuOwkay mkuu " jitahidi kushiriki kukutana na wadau mbali mbali katika matamasha makubwa " utafanikiwa tu
Ndio huyo huyo broSamahani ni nedy yupi huyo
Au ni huyu aliechukua tuzo nae yuko king's music
Endelea kushabikia nyegezi maana hujui mziki kabisaBeat za Ali Kiba ni zile zile hazibadiliki alafu haziendani na mahitaji ya Sasa, video iko na ubora mzuri tatizo sauti za vijana wa KINGS MUSIC zimefanana na Ali Kiba mwenyewe kwaiyo kwa mtu aliye nje ya nchi anaweza akajua ni Kiba ndio kaimba mwanzo mwisho.
Tumshabikie mtu lakini tumwambie ukweli asije akaamini yupo sawa kumbe anapotea, Kwenye hiyo LEBO mtu mwenye utofauti ni Nedy Music Peke yake
Naomba nikucheki inbox au unicheki tobongeNiko dom.. pia ni dj kwenye event basi mzee
Au kwa kuwa unajiita king smoker,ndo unahamua kumpigia chapuo king mwenzako shameless on youHao
ni
wana
jf
wana
sema
nyimbo
mbovu,
viewes
sijui
wako
wangap!!
Domo ana wimbo gani mkali toka mdogo mdogo...nyingine zote collaboAhahaa mkuu mimi nampenda sana Ali k ... ila ananiangusha mnoo".... so nachokifanya ni kuusimamia ukweli hata kama una uma ".... Domo kamzidi vitu vingi sana Ali k " haswaa inapokuja katika suala la ku-target soko la walaji wa upishi wao
Bro wewe unaujua mziki au unatafuta nikuharibie siku? Labda nikwambie tu unavyopenda mahadhi ya mziki wa Kiba sio kila mtu atapenda mziki huo, bado watu wengi wanauongelea vibaya mziki wa Kiba lakini sio kila mtu ni shabiki wa Nyegezi kama ulivyosema katokana na akili zako kudumazwa kama yule mdudu DUMUZI wa mazao ambavyo hudumazwa na sumu.Endelea kushabikia nyegezi maana hujui mziki kabisa
Bado sijauuona Hui muziki mnaowasifia bado wanasafari ndefu wakaze butiHakika Kiba umewapika wakapikika hawa vijana...
Nawaona hawa madogo wakifika mbali...