Hawa Vijana Wa Kings Music Hakika Wameiva

Hawa Vijana Wa Kings Music Hakika Wameiva

Beat za Ali Kiba ni zile zile hazibadiliki alafu haziendani na mahitaji ya Sasa, video iko na ubora mzuri tatizo sauti za vijana wa KINGS MUSIC zimefanana na Ali Kiba mwenyewe kwaiyo kwa mtu aliye nje ya nchi anaweza akajua ni Kiba ndio kaimba mwanzo mwisho.

Tumshabikie mtu lakini tumwambie ukweli asije akaamini yupo sawa kumbe anapotea, Kwenye hiyo LEBO mtu mwenye utofauti ni Nedy Music Peke yake
Samahani ni nedy yupi huyo
Au ni huyu aliechukua tuzo nae yuko king's music
 
Beat za Ali Kiba ni zile zile hazibadiliki alafu haziendani na mahitaji ya Sasa, video iko na ubora mzuri tatizo sauti za vijana wa KINGS MUSIC zimefanana na Ali Kiba mwenyewe kwaiyo kwa mtu aliye nje ya nchi anaweza akajua ni Kiba ndio kaimba mwanzo mwisho.

Tumshabikie mtu lakini tumwambie ukweli asije akaamini yupo sawa kumbe anapotea, Kwenye hiyo LEBO mtu mwenye utofauti ni Nedy Music Peke yake
Kabisa .. Mimi nimewaambia hivi wadau" hizo beats anazotumia Ali K ni za mtindo ulipitwa Sana ".... hazitomsaidia chochote ..hao vijana ndio kichefu chefu kabisa wana chojua nikujikamua kamua tu lakini Melody 0
 
Hakuna kitu hapa nyimbo mbovu tu
Hahaa nyimbo mbovu Sana ***** " Ali k kwisha habari" yake ".... Hivi hayupo humu nimtag ... linyimbo bovu mnoo ..sijui kakosa washauri !!! Au na yeye hashauriki kama jiwe !..
 
Hahaa nyimbo mbovu Sana ***** " Ali k kwisha habari" yake ".... Hivi hayupo humu nimtag ... linyimbo bovu mnoo ..sijui kakosa washauri !!! Au na yeye hashauriki kama jiwe !..
Mbona Ali hajaimba humo...
Alafu kama unashangilia... hata ikiwa ni kwisha habari yake, unafaidika nn?
 
Ahahaa mkuu mimi nampenda sana Ali k ... ila ananiangusha mnoo".... so nachokifanya ni kuusimamia ukweli hata kama una uma ".... Domo kamzidi vitu vingi sana Ali k " haswaa inapokuja katika suala la ku-target soko la walaji wa upishi wao
Hapo najua pm kwako washajaa
 
Inabidi tumshkuru sana Diamond kwa kawafungulia njia wasanii wenzake yani leo ney huwezi amino anatoa misaada kama Diammond,hata kaka take Diamond, alikiba na yeye kaanza kuimba na wasanii kwenye lebo yake kama vile wasafi .....kwakweli diamond ni mfano wa kuigwa na kina alikiba wasione aibu kumwiga wachape kazi tu
 
Mbona Ali hajaimba humo...
Alafu kama unashangilia... hata ikiwa ni kwisha habari yake, unafaidika nn?
Umepanic chief " hata kama hajaimba " lakini yeye ndiye msimamizi wa hilo " wa hilo kundi so anapaswa " kuhakikisha " kazi inafanyika nzuri
 
Wakuu tusimkatishe tamaa King.. Tunamuhitaji sana kwa game muda huu..
Hatumkatishi " Tamaa " .... ila tuna mshauri tu " mtu anaye kushauri " Jambo anakutakia ustawi mzuri wa maendeleo yako "
 
Tatizo washauri wake akina Mange kimambi huwa hawamwambii ukweli tatizo lipo kuanzia kwa hao vijana hawajui kuimba sijui alitumia kigezo gani kuwa enroll pia hana producer mzuri au yeye analazimisha maadhi ya Kongo kwenye jamii ya tz, aangalie mabeat yake, hii staili ya kikongo haitamfikisha popote, mimi hainibambi kabisa.
 
Kuimba sio kujua kuiremba sauti tu"... ni Melody kali yenye mchanganyiko wa sauti nzuri inayoamsha mpaka hisia uandishi " mzuri "unaogusa hisia pia ' na product nzuri toka kwa producer ... hapa kwenye product ndio kiungo nyeti haswaa " kwa sababu mpangilio wa vyombo vya music ukiwa mzuri huwa inamfanya msikilizaji achanganyikiwe ".... jaribu kusikiliza nyimbo ya lucky dube back to my roots mtaelewa nacho kiongea" Au kwa sasa jaribuni kusikiliza wimbo za patoranking " different na this kind love"..... kwa tz kuna ule wimbo wa harmonies Dm chick ..
kweli mkuu this kind of love ya pato ni balaa... na kuna ile ya skales booty language..
 
Back
Top Bottom