Janma
JF-Expert Member
- Sep 30, 2015
- 423
- 407
Samahani ni nedy yupi huyoBeat za Ali Kiba ni zile zile hazibadiliki alafu haziendani na mahitaji ya Sasa, video iko na ubora mzuri tatizo sauti za vijana wa KINGS MUSIC zimefanana na Ali Kiba mwenyewe kwaiyo kwa mtu aliye nje ya nchi anaweza akajua ni Kiba ndio kaimba mwanzo mwisho.
Tumshabikie mtu lakini tumwambie ukweli asije akaamini yupo sawa kumbe anapotea, Kwenye hiyo LEBO mtu mwenye utofauti ni Nedy Music Peke yake
Au ni huyu aliechukua tuzo nae yuko king's music