Hawa Vijana Wa Kings Music Hakika Wameiva

Hao
ni
wana
jf
wana
sema
nyimbo
mbovu,
viewes
sijui
wako
wangap!!
 
Timu mondi tangu lini mkamsifia kiba
Nyimbo mbovu za jibebe na nyegezi mmezisifia tu wakati hamna kitu
 
Endelea kushabikia nyegezi maana hujui mziki kabisa
 
Ahahaa mkuu mimi nampenda sana Ali k ... ila ananiangusha mnoo".... so nachokifanya ni kuusimamia ukweli hata kama una uma ".... Domo kamzidi vitu vingi sana Ali k " haswaa inapokuja katika suala la ku-target soko la walaji wa upishi wao
Domo ana wimbo gani mkali toka mdogo mdogo...nyingine zote collabo
 
Endelea kushabikia nyegezi maana hujui mziki kabisa
Bro wewe unaujua mziki au unatafuta nikuharibie siku? Labda nikwambie tu unavyopenda mahadhi ya mziki wa Kiba sio kila mtu atapenda mziki huo, bado watu wengi wanauongelea vibaya mziki wa Kiba lakini sio kila mtu ni shabiki wa Nyegezi kama ulivyosema katokana na akili zako kudumazwa kama yule mdudu DUMUZI wa mazao ambavyo hudumazwa na sumu.

Unampenda Kiba kuliko mzazi wako hadi unajisahau kwamba hapa tupo kuongea ukweli sio kupendelea? Mbona hujataja wasanii wengine ila umeanza kuwataja hao wakina Nyegezi vipi mkuu au kuna kitu wamekuudhi? Tueleze tu maana hatuna undugu nao wala hatuna share yoyote na wao. Acha mihemuko jibu kistaarabu, usije ukasababisha nikakushushia makombora alafu ikawa tabu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…