Hawa viongozi wa Bavicha waliwabagua wanaYanga na kujiegemeza kwa Simba. Mapambano ya katiba mpya ni kwa Simba FC? Huu ni ubaguzi na hawafai kabisa

Hawa vijana wanachafua mapambano ya katiba mpya kuyahusisha na Simba Fc. Huu ni ubaguzi wa kishamba na usiofaa kabisa. Hawafai hawa vijana ni washamba sana.View attachment 2242392
Aden Rage ni Simba huvaa nyekundu, lakini huko CCM huvaa njano. Ndugai ni Simba lakini huko CCM huvaa njano. Je, uliwahi kuwasikia hao wakikataa kuvaa njao huko CCM? Nadhani viongozi wote wa CCM hawawezi kukataa kuvaa njano eti kwa kuwa wao ni wapenzi wa Simba! Haya mambo yanaweza kuletwa jukwaani na mpuuzi tu peke yake.
 
Statesman kama unavyojitambulisha ni zaidi ya vyama. Kwenye demokrasia ya vyama vingi, yuko juu ya vyama (hata kama ni mwanachama wa chama fulani).
Yeye huangalia nchi au taifa kwa mapana yake.
 
Mwenye akili timamu atagundua kuwa licha ya wao kugombania katiba mpaya pia ni washabiki wa Simba.

Hakuna uhusiano kati ya kudai katiba mpya na ushabiki wa mpira.

Au kwa kuwa wewe ni Yanga kwa hiyo ulitaka wakae upande wenu ili kukufurahisha nafsi?
1. Kwa nini hawakuvaa jezi za simba badala ya jezi za chadema?
2. Je, kuna waliovaa hizo jezi nyekundu za chadema na wakakaa upande wa kijani (yanga)? Toa ushahidi please!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…