Manndasori
JF-Expert Member
- Feb 19, 2021
- 286
- 259
Chadema inakutesa sanaHawa vijana wanachafua mapambano ya katiba mpya kuyahusisha na Simba Fc. Huu ni ubaguzi wa kishamba na usiofaa kabisa. Hawafai hawa vijana ni washamba sana.View attachment 2242392