Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 23,234
- 28,473
hilo ni suluhisho au kukimbia matatizo?Solution ni moja tu hapo killing
upande mwingine mwanaume alikuwa malaya, haijali familia yake, muongo na mbaya yote unayoyajua ndo utumie kigezo cha kumdhulumu mtu jasho lake?Story Iko upande mmoja
Kwangu mm hili ni suluhishohilo ni suluhisho au kukimbia matatizo?
Ni kweli! Possibly kuna cheating ruban aliambaa nayo, mke kama kawaida yenu akalipiza kisasiStory Iko upande mmoja
No woman no cryMasikitiko makubwa na hisia za kusalitiwa vinatawala maisha ya sasa ya Nahodha "Captain" Patrick Waweru Mwangi, rubani mkongwe wa ndege za biashara nchini Kenya.
Katika simulizi yake ya kusikitisha, nahodha huyo anaeleza kwa masikitiko makubwa jinsi alivyopoteza kila kitu alichokifanyia kazi maisha yake yote.
Maumivu yake yanatokana na ukweli kwamba, licha ya kujitolea kikamilifu kwa miaka 34 kuitunza familia yake na hata kumnusuru mke wake kwa kumfadhili na kumkabidhi mamilioni ya pesa, leo hii ameachwa peke yake, hana makazi, na hana hata senti moja mfukoni.
Kisa hiki cha kusikitisha kilianza wakati rubani huyo alipokuwa akipokea mshahara mnene kutoka kwa mashirika makubwa ya ndege kama vile Kenya Airways.
Kwa sababu ya upendo na uaminifu usio na kifani, Captain Waweru alikuwa akihamisha mshahara wake wote moja kwa moja hadi kwenye akaunti ya benki iliyokuwa inasimamiwa na mke wake.
Kupitia fedha hizo na mikopo mikubwa aliyochukua yeye mwenyewe, walifanikiwa kujenga boma la kifahari na kuanzisha shule kubwa ya kibinafsi katika kaunti ya Kiambu.
Hata hivyo, nyufa katika ndoa yao zilianza kuonekana mnamo mwaka 2016 kufuatia misukosuko ya kikazi iliyomfanya asiruke angani kwa muda.
Mgogoro huo ulizidi zaidi pale alipogundua kuwa mali zote walizochuma pamoja, ikiwemo shule na nyumba yao, zilikuwa zimehamishwa na kusajiliwa chini ya jina la mke wake pekee tangu mwaka 2014 bila yeye kujua.
Baada ya ndoa kuvunjika kabisa, alifukuzwa kwenye jumba lake, akanyimwa haki ya mali hizo, na mke wake akafungua kesi ya talaka huku akidai mali zote ni zake binafsi.View attachment 3633178
killing tuachane nazo wajuba, mwendo ni kutafuna mbususu kwa kwenda mbele huku tukiwa na altenative, plan B pindi mambo ya mahusiano ya kindoa yatakapovunjika. Hawa wanawake huolewa na kazi/hela/mali, zikiondoka na wao huondoka, hapendwi mtu ila hela tuSolution ni moja tu hapo killing
Killing ni kumuhurumia, kumpeleka kwe vilinge vya mshana asifahiri hizo mali.. awehuke kila anagusa au kutumia mali ya mwambaSolution ni moja tu hapo killing
juzi kati kuna jamaa angu mmoja alipigiwa simu na mke wake akiulizwa kwa nini amechukua noti mpya, jamaa akamjibu mke wake kuwa amezichukua na kwenda kuzitumia. Mke akamuambia hizo hela ni zake sio zake, hela zake ni za wote na zake ni zake pekee, yaani mke anasema akiwa na hela ni zake peke yake ila mume akiwa na hela ni za wote. Nikamuambia huyo jamaa mna utani ninyi huku nikijiwazia kuwa huyo mwanamke anaongea utani lakini ndio uhalisia wenyeweWanawake ni watu wa ajabu sana na niwabinafsi haiwezekan mtu ajitoe kwaajili yako alaf unamuona kama fala tu ndo maana vijana weng hawaoi wakisikia mambo haya
Ndo imfanyie akose kila kitu?Ni kweli! Possibly kuna cheating ruban aliambaa nayo, mke kama kawaida yenu akalipiza kisasi
Hata kumfanya kuwa kichaa ni kumhurumia kama kilivyo kifo. Kama huna uwezo wa kumpa pigo akibaki na fahamu zake zote awe anajuta bora umuache tu.Killing ni kumuhurumia, kumpeleka kwe vilinge vya mshana asifahiri hizo mali.. awehuke kila anagusa au kutumia mali ya mwamba