Hawa viumbe siyo kabisa, tuishi nao kwa akili sana, wao ndiyo pengine hata hutuua

Hawa viumbe siyo kabisa, tuishi nao kwa akili sana, wao ndiyo pengine hata hutuua

Kwenye lili sakata la kutimua wafanyakazi wenye vyeti feki kuna wanaume waliachwa na wake zao kisa wamepoteza kazi. Ni wanawake wachache sana ndio waliowavumilia waume zao waliopoteza kazi.

Kuna zile kazi ambazo ukistaafu huna pensheni wanawake huwakimbia waume zao na kujitenga nao, huanzisha harakati zao za maisha kujipambania wenyewe huku watoto wao wameshakuwa watu wazima wanashuhudia utengano wa wazazi wao.

Unakuta jimama bado wamo lina nguvu zake za kuchakarika kufanya shughuli za kupata fedha linaachana na mzee wake kwa kumuona ni mzigo usiobebeka
 
Kweli kuja utafute pesa ya kujipanga maishani na mwingne aile kimasihala inauma. Hapo hata kama sina nguvu za kupigana kitaeleweka tu. Afu kingne wakati mtu ana hela anatenga ndugu zake na huyo rubani ni kama hakuwa na ushirikiano na ukoo wake acha apambane na hali yake. Kwan kama angekuwa na uhusiano mzuri na ndugu zake wangemsaidia hata kwa kupga mikwara japo apate nusu lakin kwa kuwa alikuwa anawaona wa nini na wao sasa hivi ndio maana hawampi msaada wowote.
 
Maumivu yake yanatokana na ukweli kwamba, licha ya kujitolea kikamilifu kwa miaka 34 kuitunza familia yake na hata kumnusuru mke wake kwa kumfadhili na kumkabidhi mamilioni ya pesa, leo hii ameachwa peke yake, hana makazi, na hana hata senti moja mfukoni
Huyo rubani naye jau
 
Back
Top Bottom