Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 42,525
- 74,605
Hili nimelielewaKumshirikisha mwanamke kwenye miamala na biashara Ndio usenge ambao baadhi ya wanaume hujidanganya. Mwanamke anatakiwa kupokea mahitaji tu
Hili nimelielewaKumshirikisha mwanamke kwenye miamala na biashara Ndio usenge ambao baadhi ya wanaume hujidanganya. Mwanamke anatakiwa kupokea mahitaji tu
Unakua kama chama cha machawaStory Iko upande mmoja
Stori za Kenya za kutafuta likes na views Hazina ukweliKuna kitu huyu jamaa anatuficha hapa.
Hizo mali kama zilikuwa kwa jina lake zilihama vipi kwa jina la mkewe bila yeye kujua??
Anyooshe maelezo na sio kutaka sympathy.
Huo ni ubinafsi tu na ni tabia mbaya kama zilivyo tabia mbaya zingine.Kwenye lili sakata la kutimua wafanyakazi wenye vyeti feki kuna wanaume waliachwa na wake zao kisa wamepoteza kazi. Ni wanawake wachache sana ndio waliowavumilia waume zao waliopoteza kazi.
Kuna zile kazi ambazo ukistaafu huna pensheni wanawake huwakimbia waume zao na kujitenga nao, huanzisha harakati zao za maisha kujipambania wenyewe huku watoto wao wameshakuwa watu wazima wanashuhudia utengano wa wazazi wao.
Unakuta jimama bado wamo lina nguvu zake za kuchakarika kufanya shughuli za kupata fedha linaachana na mzee wake kwa kumuona ni mzigo usiobebeka
Mi pia nahisi sio kweli. Au sheria za Kenya ni ngumu kiasi hicho washindwe kutambua kuwa mali zimepatikana ndani ya ndoa? Huyo mzee transfer ya pesa alikuwa anaifanyaje hata statement zisioneshe? Huyo mama ni nini source of income ilomfanya awe na mali zote hizo peke yake?Stori za Kenya za kutafuta likes na views Hazina ukweli
Sio kweliMtu hawezi kukufanyia ubaya kabla ubaya kutangulia.