Tubu na kuiamini InjiliBuSolution ni moja tu hapo killing
Yeah man.Solution ni moja tu hapo killing
Wewe unadhani kutakuwa na nyongeza kubwa zaidi ya hapo?Story Iko upande mmoja
Cheza na wanawake wewe! Mwanamke akijua unacheat anakuwa na hasira zisizo na kifani, hata kukuua anaweza kukuuaNdo imfanyie akose kila kitu?
Mtu hawezi kukufanyia ubaya kabla ubaya kutangulia.Ni kweli! Possibly kuna cheating ruban aliambaa nayo, mke kama kawaida yenu akalipiza kisasi
upo sahihKwangu mm hili ni suluhisho
Wataelewa tu.
Mtu hawezi kukufanyia ubaya kabla ubaya kutangulia.
hakika mkuu.Kumshirikisha mwanamke kwenye miamala na biashara Ndio usenge ambao baadhi ya wanaume hujidanganya. Mwanamke anatakiwa kupokea mahitaji tu
Kwisha yeyeWataelewa tu.
#YNWA
#YANGA_BINGWA.
Huyo rubani naye jauMaumivu yake yanatokana na ukweli kwamba, licha ya kujitolea kikamilifu kwa miaka 34 kuitunza familia yake na hata kumnusuru mke wake kwa kumfadhili na kumkabidhi mamilioni ya pesa, leo hii ameachwa peke yake, hana makazi, na hana hata senti moja mfukoni