Hawa viumbe siyo kabisa, tuishi nao kwa akili sana, wao ndiyo pengine hata hutuua

Kosa kubwa alofanya ni kumshirikisha mwanamke kwenye suala la pesa..

Hapa mkuu alijimaliza mwenyewe
 
Kosa kubwa alofanya ni kumshirikisha mwanamke kwenye suala la pesa..

Hapa mkuu alijimaliza mwenyewe
 
Kuna kitu huyu jamaa anatuficha hapa.

Hizo mali kama zilikuwa kwa jina lake zilihama vipi kwa jina la mkewe bila yeye kujua??

Anyooshe maelezo na sio kutaka sympathy.
Stori za Kenya za kutafuta likes na views Hazina ukweli
 
Huo ni ubinafsi tu na ni tabia mbaya kama zilivyo tabia mbaya zingine.
Kama mwanamke ana nguvu zake na uwezo wa kuchakarika, na watoto ni wakubwa watu wazima wanajitegemea, honestly mtu mmoja ambaye ni mume anakuwaje mzigo?
Labda iwepo sababu nyingine
 
Stori za Kenya za kutafuta likes na views Hazina ukweli
Mi pia nahisi sio kweli. Au sheria za Kenya ni ngumu kiasi hicho washindwe kutambua kuwa mali zimepatikana ndani ya ndoa? Huyo mzee transfer ya pesa alikuwa anaifanyaje hata statement zisioneshe? Huyo mama ni nini source of income ilomfanya awe na mali zote hizo peke yake?

Yaani huyo mwanaume hana ushahidi wowote hata angalau wa maeneo, process za ujenzi wa hizo shule, usajili ( ye hata kwenye directors/shareholders hayumo?) Au ndo kaamua kumuachia Mungu?!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…