MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,661
- 21,656
Mungu ambariki mtoto wa Tandale, matibabu mema Hawa
niko namshughurikia now kwenda india kutibiwa... ila sikutaka kutangaza coz staki watu wachukulie msaada wangu ni kiki...but kwakuwa maswali yamekuwa mengi juu yake, imebidi nijibu... na matibabu yake si chini ya milioni 50 na nitadeal nayo tu!👍🏼 Nassary on Twitter
— Chibu Dangote (@diamondplatnumz) September 28, 2018
— Chibu Dangote (@diamondplatnumz) September 28, 2018