The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 4,118
- 9,864
Napenda Kujua hawa wanaolalamikiwa ni akina Nani maana.
1. CCM wote wanalalamika.
2. Rais analalamika.
3. Mawaziri wanalalamika.
4. Wananchi wanalalamika.
5. Wabunge wote wanalalamika.
Yaani Kila mtu anapiga kelele wakamatwe wakamatwe, kwani hao wezi wa Mali zetu ni wa nchi gani?