The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 4,118
- 9,864
Kulalamika ni lifestyle ya Watanzania wengi mkuu.Napenda Kujua hawa wanaolalamikiwa ni akina Nani maana.
1. CCM wote wanalalamika.
2.Raisi analalamika.
3. Mawaziri wanalalamika.
4. Wananchi wanalalamika.
5. Wabunge wote wanalalamika.
Yaani Kila mtu anapiga kelele wakamatwe wakamatwe, kwani hao wezi wa Mali zetu ni wa nchi gani?
unafik2 yan hii nchi bwana mwizi wa kuku anasota jera lakn mwizi wa pesa za uma analalamikiwaNapenda Kujua hawa wanaolalamikiwa ni akina Nani maana.
1. CCM wote wanalalamika.
2.Raisi analalamika.
3. Mawaziri wanalalamika.
4. Wananchi wanalalamika.
5. Wabunge wote wanalalamika.
Yaani Kila mtu anapiga kelele wakamatwe wakamatwe, kwani hao wezi wa Mali zetu ni wa nchi gani?
Acha dharau dogokila mtu anajinusa.
Just imagine raisi wa nchi naye analalamika.
HUYO BIBI ATOKE MADARAKANI HATUWEZI TUKAWA NA RAIHISI KWA JINSIA YAKE ETI MAMA,MAMA,MAMA.
ATUNAHITAJI MTU MWENYE MAAMUZI YA KIUONGOZI NA SIYO TAKATAKA
Ukishindwa kumuheshimu kama Rais basi at least muheshimu kama mama.kila mtu anajinusa.
Just imagine raisi wa nchi naye analalamika.
HUYO BIBI ATOKE MADARAKANI HATUWEZI TUKAWA NA RAIHISI KWA JINSIA YAKE ETI MAMA,MAMA,MAMA.
ATUNAHITAJI MTU MWENYE MAAMUZI YA KIUONGOZI NA SIYO TAKATAKA
Tulijuwa hao wezi na wabadhirifu wameacha kumbe KASI IMEZIDI! ENOUGH IS ENOUGH. Kuna faida gani ya MATOZO na kukusanya Kodi huku wachache wakizitafuna mchana mchana?!🙁😠😡🤬Napenda Kujua hawa wanaolalamikiwa ni akina Nani maana.